Nahitaji Mchumba

Nahitaji Mchumba

Hassmak

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
80
Reaction score
2
Jamani mimi mwenzenu mpaka leo nimeshindwa kumpata huyu mwanamke ninayempenda sabbu hataki hata kuckia sauti yangu ila sasa nimeona bora nitafute mwengine kama yupo namuomba aje inbox.
 
jamani naomba mnisaidie me nimeishiwa na huyu mdada maana toka nilipomueka wazi hakuwahi hata cku moja kunisalimia nikimpia cm hapokei msg hajibu mwaka wa 2 mpaka nimekata tamaa lakini kama atatokea mwengne akinipenda nami nitamuenzi na kumpenda na kumtunza vizuri
me naishi zanzibar mtaa unaitwa mpendae
 
Mchumba mtandaoni?????!!! Unakoishi hakuna wanawake??
jamani naomba mnisaidie me nimeishiwa na huyu mdada maana toka nilipomueka wazi hakuwahi hata cku moja kunisalimia nikimpia cm hapokei msg hajibu mwaka wa 2 mpaka nimekata tamaa lakini kama atatokea mwengne akinipenda nami nitamuenzi na kumpenda na kumtunza vizuri
me naishi zanzibar mtaa unaitwa mpendae
 
mbona inawezekana kupata mchumba mtandaon mkapendana vzur mpaka mkaoana kuliko mtaani mapenzi hayachagui
 
Mbona zenji kuna watoto wa kali wengi, hasa hapo mpendae, mombasa, kwa mchina.......... Mm niko Dar bt najuwa mademu wa uko wanajickiya xnaa
 
Duuuuh
Malimwengu.
Ukistaajabu ya Ngoswe utayaona ya..............
 
Tatizo hamjui kutunza na kuheshimu mnaudhi kweli! 2kishawapenda mnaanza ku2chunia bora single kuliko stress
 
hakuna kitu hcho ni baadh tu ya wanaume mm cjawahi kuwa na mpnz ila nikimpata atafurah daily coz nitamtunza kadri niwezavyo
 
Duuh........zali hilo kama masihara vile, wacha nitafute nauli nije fasta huko pm.
 
jamani naomba mnisaidie me nimeishiwa na huyu mdada maana toka nilipomueka wazi hakuwahi hata cku moja kunisalimia nikimpia cm hapokei msg hajibu mwaka wa 2 mpaka nimekata tamaa lakini kama atatokea mwengne akinipenda nami nitamuenzi na kumpenda na kumtunza vizuri
me naishi zanzibar mtaa unaitwa mpendae
una miaka mingapi? kabila gani? unaishi kwa baba na mama au kwako? nyumba yako au umepanga? unamtoto wa nje au uliwahi kuoa? unafanya kazi wapi? nijibu hayo machache tafadhali?
 
hayo ni mambo wanayo fanya ama wachache ama wengi lakini c wote
 
una miaka mingapi? kabila gani? unaishi kwa baba na mama au kwako? nyumba yako au umepanga? unamtoto wa nje au uliwahi kuoa? unafanya kazi wapi? nijibu hayo machache tafadhali?
napenda niseme ukweli naish kwa wazazi cjawah kuwa na mpnz acha kuoa nina miaka 20 kazi ndo kazi maana naiendea mbio
 
jamani naomba mnisaidie me
nimeishiwa na huyu mdada maana toka nilipomueka wazi hakuwahi hata cku
moja kunisalimia nikimpia cm hapokei msg hajibu mwaka wa 2 mpaka
nimekata tamaa lakini kama atatokea mwengne akinipenda nami nitamuenzi
na kumpenda na kumtunza vizuri
me naishi zanzibar mtaa unaitwa mpendae

kwann anakuchunia? wenda huna care na mengine ndo maana au elezea tatizo ni nn?
 
napenda niseme ukweli naish kwa wazazi cjawah kuwa na mpnz acha kuoa nina miaka 20 kazi ndo kazi maana naiendea mbio
mmmm duh bado mdogo sana miaka 20 unataka kuoa mbona unataka kuwapa wazazi wako ulezi na kujitia stress? soma kwanza wake hawaishi..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom