Mwanamke aliye tayari kuingia kwenye ndoa

Mwanamke aliye tayari kuingia kwenye ndoa

philophy

Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
53
Reaction score
8
Natafuta mwanamke aliyetayari kuingia kwenye ndoa, aliyeserious tu ndye atakayejibiwa.

awe na sifa zifuatazo; mwenye umri kuanzia 24 mpaka 32. awe na elimu angalau ya sekondari. aliyeajiliwa au kujiajili.

aliyekuwa aliyewah kuolewa au kuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu. awe tayar kupma HIV, mkrito , mrefu mwembmb, mkarimu mchesh na mpenda aman.

Mim umri wangu ni miaka 34 degree holder, self employee, living in tabata dar, nyakyusa, nilishakuwa kwenye mahusiano, mkrito. aliyetayari aingie PM.
 
Hongera kwa kujtokeza hadharan. ngoja wanakuja muda si mrefu.
 
Tuambie kilicho kukimbiza kwa mpenz wako wa zamani!
 
Kavaa sketi na blauzi no maana nikajua ni she..!

Ningekuwa mi ndo muuliza swali ningekutwanga swali lingine ila kwa vile swali kauliza mwingine wacha nipite tu
 
Back
Top Bottom