Wadau mi ni kijana wa mwaka wa 2 udsm edu.nna miaka 25 natafuta mpenz wa kuoa sifa ni awe mnene,mweupe na mwislam kat ya miaka 20 na 24 ajtokeze tafadhari.
Kama uko bongo piga namba hizi 0833240783. Ana sifa zote ulizozitaja na nyingine za ziada!
Ndugu hapo chuoni undo kuna wanawake Wa kila aina kweli umekosa chaguo lako
soma kwanza acha mapenzi wew hata degree hujamaliza unakimbilia kuoa? duh
wabongo bhana sijui wanafikilia kwa kutumia nini
hapo udsm ni boys tupu.?
unamiliki nini au roho tu???
unamiliki nini au roho tu???
Kama uko bongo piga namba hizi 0833240783. Ana sifa zote ulizozitaja na nyingine za ziada!
Huyu jamaa ni desa boy. Akitaka ani inbox nimuunganishe nawa madam kibao wa udsm.
unamiliki nini au roho tu???
Fanya hvyo mkuu ntakushukuru napenda xana watu waelewa kama nyny.