Hello, wizzy hapa natafuta rafiki wa jinsia yeyote. Mimi ni mwanaume, 30 ninafanya kazi. Graduate wa chuo wa shahada ya fedha na benki. Ninapenda kuogelea, muziki, kusafiri, kwenda mbugani, kuwa...
Wakuu heshima kwenu, nimekuwa lonely kwa muda sasa, hivyo natafuta mwanaume wa kuchat nae umri kuanzia 39-43, awe single tafadhali.
Aliye tayari ani PM.
Natafuta mwanamke mlokole ambaye baada ya kuridhika atakuwa mke,umri ni kuanzia 27 had 34.na hatakiwi mwenye mtoto zaidi ya mmoja ila ambaye hazai atapewa kipaumbele.
Aliye tayari anipm
Umri wangu ni miaka 29, mkristo,elimu chuo, nimeajiriwa na niko morogoro. Nimtakae umri 30-34,awe mkristo, mwajiriwa au mjasiriamali. Mengine tutafahamiana zaidi.
Kwa PM kwa anae hitaji.
Habari wana Jamii forums.
Ninarafiki yangu wa kike ana miaka 20 ni virgin,anatafuta rafiki wa kiume atakayeanza nae mahusiano na baadae Mungu akipenda wafunge ndoa.
Yeye ni mkristo na...
Mimi ni mwanamke wa kuanzia miaka 34-37, mkristo, nina mtoto mmoja, nimeajiriwa, natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo, awe mkristo, elimu kuanzia form four kuendelea. Awe mwaminifu na mwenye...
Sifa; awe mrefu 150cm-160cm, asitumie kilevi,awe mkristu mkatoliki,maji ya kunde/mng'avu, mwenye umbo na sura yakuvutia plus tabia njema, umri wake 17-21, mimi mweusi, 24yrz , bado naendelea...
Hello
Natafuta rafiki wa kike atakayekidhi maudhui ya mada iliyotajwa hapo juu.
Sifa zake:-
Awe mrefu,mweupe,mrembo,umri kati ya 20-27,awe independent and decisive,awe Shinyanga,
Mwenye sifa hizo...
Kwa aliye serious,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28.Ni kijana wa kikristo mwenye hofu ya Mungu.Elimu yangu ni shahada ya awali. Ni muajiriwa. Natafuta rafiki wa kike popote napendezwa zaidi...
1.Awe mwanamke
2.umri 18 to infinite
3.Awe na akili timamu
4. Awe mshugulikaji kwenye kutafuta pesa pia awe na malengo na maisha asiwe goalkeeper kwan mimi sioo falcao.
5.Arembo majiyakunde na...
Habari zenu wanawake
Mimi ni mwanaume mtu mzima nina miaka 46,kwa heshima kubwa na nina nia ya dhati kutoka moyoni na upendo wa kweli moyoni mwangu,najitokeza kutafuta mwanamke kwa maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.