Naitaji mpenzi awe mjane au mke wamtu ila asiwe na miaka chini ya 25 mimi ninamke ila naitaji mwingine hivyo naomba atakayekuwa muitaji ani pm pia naomba awe mkweli mm ninamiaka 29 akiwa...
Naimani hili jukwaa limetawaliwa na watu waelewa nimekuja kuwapa faraja mama wote dada wote walioko katika upweke wajisikie na amani pia wanaoitaji ushauri wa mahusiano na faraja mpya...
Mi ni kijana umri 34. Nimeajiriwa serikalini pia nimejiajiri kwa sehemu. Natafuta mdada aliyetayari kuwa na mume na familia.
Awe anaishi DSM, umri 21-30, atleast diploma/bachelor holder hata...
Kina dada,maisha ya upweke yamenichosha mwenzenu,natafuta mpenzi hatimae aje kuwa mke wangu,wa maisha,umri uanzie miaka 18 hadi 33 mwisho,sina vigezo vingine vyovyote,dini yoyote,kabila...
Nataka mwanamke ambaye ananizidi umri,mimi nina miaka 32,nataka mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 30 hadi 48.
Maana kama ni maisha atakuwa amejifunza vya kutosha nitamlea vya kutosha na kunako 6...
Mimi ni kjana wa miaka 34 natafuta mwanamke aliye tayari kuolewa. Sibagui kabila awe na umri kuanzia 20-32, awe na elimu kiwango chochote. Anitafute kwa namba hii 0757597555.
karibu mke wangu...
Hey there,
Iam looking for a graduate/ college girlfriend to be committed in some affairs terms n condition must reside in Dar es salaam and aged 18-25yrs.
Kindly write me through...
Habari wakuu
Wakuu nikiwa nakaribia umri wa miaka 25, nimefanya maamuzi magumu nimeamua kwamba sitaki kuwa na mke kwa maisha yangu yote, ila nataka kuwa na watoto wawili, mmoja wa kiume na...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25. Naishi mwanza. Natafuta msichana (specifically) mkristu ili kusiwe na hitilafu kwa ajili ya dini. Ili awe mchumba wangu na baadaye mke. Sifa za...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 mwenye hofu na mungu, ni mrefu wa wastani, maji ya kunde na mwajiriwa.
nafuta mwanaume age 28-40 mkristu anayependa dini na anaye jua nn maana ya mke na...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 26 nahitaj girlfriend 18-23.Akitokea Arusha au Moshi itapendeza zaidi, sichagui dini wala kabila.
Alie serious ani pm
Nimeichukua hii toka kwa Michuzi.
Tafadhali naomba uniwekee wazi maombi yangu haya. Nina umri wa miaka 35 nikisoma na kufanya kazi hapa Marekani. Natafuta mchumba( dada wa kitanzania) kokote...
Mm ni mwanaume nina miaka 24 najua huku wapo wasichana warembo wenye tabia njema mm mtaan ni mpole sana so chance nakosa pia npo bize na kazi.....vigezo umri chini ya miaka 22 kabila sichagui...
Nimekuwa single kwa mda mrefu now nahitaj rafiki wa kike ambaye yupo tayari kuwa mke wangu siku za baadaye. Awe mkristo(umri had 26) elimu yoyote ,aliyepo Mbeya ,Iringa na Dodoma atapewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.