Mvumilivu2 Senior Member Jul 31, 2014 107 47 Mar 28, 2015 #1 Natafuta rafiki wa kiume mwenye urafiki wa kweli miaka 29-35 asitoke nje ya Dar es salaam, mpenda maendeleo na anayejitambua. Aliyetayari ani mp,
Natafuta rafiki wa kiume mwenye urafiki wa kweli miaka 29-35 asitoke nje ya Dar es salaam, mpenda maendeleo na anayejitambua. Aliyetayari ani mp,
jembe afrika JF-Expert Member Jan 15, 2014 7,604 3,753 Mar 28, 2015 #3 Sio mp Ni pm.ok akaunt Yako ina sh ngapi,na usiwe na swimming pool tu
Mimiwikolo JF-Expert Member Mar 28, 2015 218 19 Mar 28, 2015 #4 Maelezo/vigezo zaidi tafadhali e.g dini nk
Ty_Vigilante JF-Expert Member Jan 19, 2015 2,890 2,446 Mar 28, 2015 #5 Mbona hata hujibu huku back stage ama kuna vigezo vya ziada wavitaka...?
M CM JF-Expert Member Nov 25, 2012 2,493 1,472 Mar 29, 2015 #7 Inaonekana unatafuta mume ila unaogopa kufunguka
rymondjamjat Member Aug 28, 2013 20 0 Mar 29, 2015 #8 Je mimi ninayetaka urafiki na ww alafu cjafika miaka iyo