Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Denjo

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
359
Reaction score
118
1.Awe mwanamke

2.umri 18 to infinite

3.Awe na akili timamu

4. Awe mshugulikaji kwenye kutafuta pesa pia awe na malengo na maisha asiwe goalkeeper kwan mimi sioo falcao.

5.Arembo majiyakunde na mweupe kias

6.Awe natural masuala ya kujichubua asiwe amejaribu kabisa

7.Asie mpendaa mawigi

8.Awe na elimu zote kuanzia elimu ya shule na elimu ya maishaa usije na ka GpA kako ka 4 point something alaf kuish na watu "F"

9.Awapende wifi zake kam anavowapendaa dada zake

10Asitumie mtandao mwingne zaid ya Vodacom Tanzania.

Nb:unavigezo ivyoo ni pm nikufanyie interview
 
Dah......nimekidhi vigezo vyote........ila namba 3 sasa.......ndo nshakukosa tena mpenzi..........
 
hAHAHAHA No. 3 ...Wengine hadi mwezi ukiwa mchanga.....kama mwezi haujawa mchanga utamjuaje sasa?

bora ungeandika Umri kuanzia 25 na kuendelea
coz hiyo kuanzia 18 hadi 20 unategemea awe mtafuta pesa kivipi wakati bado ni mtoto wa mama...Alisoma lini, akamaliza lini hadi atafute pesa? Au ni yule aliyokulia mitaani sababu ndio wanaanza kutafuta hela tangu wadogo, au anasoma huku anajiuza?

No. 7....Asiwe mpenda mawigi....Unataka Mzungu au Muarabu ? Km ni Muafrica asilia wengi huvaa wigs....
 
interview? wap? ok embu nitoe copy vyeti vyangu huku kuna kazi. vip dedline line?
 
Sasa awe na akili timamu kwani wote tunaoingia humu akili zetu fyatu
 
Dah......nimekidhi vigezo vyote........ila namba 3 sasa.......ndo nshakukosa tena mpenzi..........

Ahahahah mwe itabid nkupereke ukaombewee
 
hAHAHAHA No. 3 ...Wengine hadi mwezi ukiwa mchanga.....kama mwezi haujawa mchanga utamjuaje sasa?

bora ungeandika Umri kuanzia 25 na kuendelea
coz hiyo kuanzia 18 hadi 20 unategemea awe mtafuta pesa kivipi wakati bado ni mtoto wa mama...Alisoma lini, akamaliza lini hadi atafute pesa? Au ni yule aliyokulia mitaani sababu ndio wanaanza kutafuta hela tangu wadogo, au anasoma huku anajiuza?

No. 7....Asiwe mpenda mawigi....Unataka Mzungu au Muarabu ? Km ni Muafrica asilia wengi huvaa wigs....

Ahaha hapo nmemaaanisha mwenye will ya kutafuta pesa asiweee mzigoo nyota njema uonekana asubuhiiiiii
 
interview? wap? ok embu nitoe copy vyeti vyangu huku kuna kazi. vip dedline line?

Hahaha hioo interview sioo yakuuusu kaziii bana ni yakupata muhenza bana
 
1.awe mwanamke
2.umri 18 to infinite
3.awe na akili MBOVU
4. Awe mshugulikaji kwenye kutafuta pesa pia awe na malengo na maisha asiwe goalkeeper kwan mimi sioo falcao.
5.mrembo majiyakunde na mweupe kias
6.awe natural masuala ya kujichubua asiwe amejaribu kabisa
7.asie mpendaa mawigi
8.awe na elimu zote kuanzia elimu ya shule na elimu ya maishaa usije na ka GpA kako ka 4 point something alaf kuish na watu "F"
9.awapende wifi zake kam anavowapendaa dada zake
10.asitumie mtandao mwingne zaid ya Vodacom Tanzania.

Nb:unavigezo ivyoo ni pm nikufanyie interview

JF UTAWAPATA NO 3 tu mpwa kuwa makini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom