J627204
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 268
- 99
Naimani hili jukwaa limetawaliwa na watu waelewa nimekuja kuwapa faraja mama wote dada wote walioko katika upweke wajisikie na amani pia wanaoitaji ushauri wa mahusiano na faraja mpya wanakaribiswa.
Naimani ukieleza yaliyokufanya ukose amani utausaidia moyo kusahau nakuanza maisha mapya nakaribisha mahusiano kwa wale wanaoitaji ila wasiwe na miaka chini ya 25.
Asante mawasiliano zaidi waje pm, asanteni nawatakia maandalizi ya mema ya pasaka