Mbongo mwenzetu anatafuta mchumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbongo mwenzetu anatafuta mchumba

Discussion in 'Love Connect' started by BAK, Oct 9, 2008.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,801
  Likes Received: 83,172
  Trophy Points: 280
  Nimeichukua hii toka kwa Michuzi.

  Tafadhali naomba uniwekee wazi maombi yangu haya. Nina umri wa miaka 35 nikisoma na kufanya kazi hapa Marekani. Natafuta mchumba( dada wa kitanzania) kokote duniani mwenye nia ya kweli ya kuolewa.
  Niko kwenye medical field. Iam 6 feet, great personality and ambitious. No special preference needed. Usijali wapi ulipo, jisikie huru kuniandikia and I will respect your privacy.
  Sio lazima uambatanishe picha kwenye email yako ya kwanza, though unaweza kufanya hivyo ukipenda. You can leave me your phone number if you prefer and I will call you at your convenient. Tafadhali usijisumbue if you intend to play games. I won't respond.
  Thanks.
  mapenziyadhati@yahoo.com
   
 2. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2008
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kaaazi kwelikweli.
  Hapa ndo huwa inafikia sehemu naanza kuwakumbuka wana-philosophy."Kwa nini kuku alivuka barabara"bwahaahahahhahhaa.KAZI IPO
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,801
  Likes Received: 83,172
  Trophy Points: 280
  Mtu yuko serious anatafuta mchumba wewe unaleta utani. Kama huna la maana la kuandika kumsaidia huyu jamaa ili atimize lengo lake ni bora ukae kimya.
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2008
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280


  Questionable request!!!!!!!!!!!! At the age of 35 hana mchumba au ndo wale waliochoka kulambalamba wakitafuta delicious food!!! lol. lo.lo?? Pole kaka.

  Namshauri kuwa "Mke mwema hutoka kwa Mungu, utajiri na mali mtu hupewa na Babaye". Asali amwombe Mungu, Mungu wetu huwa anasikia maombi na anajibu kwa wakati wake kama kweli unaamini na uko serious na maombi hayo. Imesemwa kuwa, Ombeni mtapewa, Bisheni hodi mtafunguliwa, Kila jambo lawezekana kwa Mungu, usichoke kumuomba Mungu. Cha msingi peleka hoja na nia zako mbele za Mungu. Mungu wet si kiziwi, husikia.

  Na katika kujibiwa ni lazima uwe msafi mbele za Mungu ukiwasamehe wale wote waliokukosea, ondoa hofu na kuwa na upendo na watu wote kwani hiyo ndo amri kuu.

  Kwenye mtandao utapata all sorts of ladies sending their applications??? Yarabi, ni mara chache you get a committed relationship!!!!!!
  Hebu jaribu uone!!!!!! Nakutakia Search njema!!!!!
   
 5. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuna dada mmoja aliwahi kusema anatafuta mume hapa jf,wapo waliomkejeli na wapo waliomwambia hapa si sehemu muhafaka mimi nikiwa ni mmoja wao.Bado mie nasisitiza kutokana na uzito wa ndoa na dunia yetu hii ya leo,sidhani kama njia hii ya kutafuta mwenza inafaa,it doesn't matter how serious you are.

  Simaanishi kwamba uwezi kufanikiwa la asha,but the probability nowdays equals to that probability of delivering safely a baby conceived outside the uterus
   
 6. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2008
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  maybe,i am living in a different world,lakini mpaka unatangaza,unatafuta mchumba katika public,something must be seriously wrong.hizi social circles,za ku hook up na umpendanayo mbona nyingi,najua times have changed,lakini sisi wabantu kumpata mtu katika blind date just does not seem to add up
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  You have said it all, Sidhani kama JF inaweza mpatia mke...aende makanisani au kwenye misikiti wakati huo awe kwenye maombi apate mke ambaye maulana atamchagulia atakaye mpa LOVE na si RUST
   
 8. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #8
  Oct 9, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  tembelea Mwananchi Tanzania News Paper kuna sehemu ya kujisajili na unaweza kuangalia contact za wengine pia

  huyo mtu anaonyesha anatafuta contacts za biashara email yenyewe inaonyesha kaifungua juzi sijui
   
 9. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  kama anasoma na kufanya kazi - basi atapata mchumba huko shule au kazini!
  Kama huko hapati basi ameshindikana kwa tabia yake mbaya au anachagua mno! Kama anachagua mno..mtandaoni si mahali patakapomfaa. Kama ana tabia mbaya ..basi watu wameshamstukia hampati mchumba bali players tu!
   
 10. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  Oh PLEEEZz, cut the crap! Jamaa analeta mzaha, this can't be a genuine request.
  Wanaotafuta partners online hawaendi kwa michuzi, hutumia chatrooms, online dating services, online matchmakers etc.

  Aende eharmony, au atafute dating agents wa Bongo.


  Kutumia lousy methods kuvutia watu kwenye website/blog yako ni tabia mbaya.  .
   
 11. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  There you go Mr. mapenzi


  .
   
 12. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2015
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  BAK Post hii ni kongwe zaidi hapa kuhusiana na masuala ya kutafuta wachumba, kwa kuwa tuliishi kama familia moja, na kwamba kila linalotukia kwenye jumuiya moja wakwanza kuguswa nalo ni mwanafamilia, nichukue fursa hii kuomba mrejesho wa ombi hili kama lilifanikiwa, na nitake kujua ups na down za couples hawa!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2015
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,801
  Likes Received: 83,172
  Trophy Points: 280
  Mkuu Horseshoe Arch mie niliichukua hii toka kwa Michuzi, simjui muhusika wala sikufuatilia kama alifanikiwa au la.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2015
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280

  Nashukuru kwa majibu yako mazuri Mkuu BAK naunga mkono hoja!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...