mavela
Senior Member
- Oct 1, 2014
- 149
- 66
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 25. Naishi mwanza. Natafuta msichana (specifically) mkristu ili kusiwe na hitilafu kwa ajili ya dini. Ili awe mchumba wangu na baadaye mke. Sifa za huyo msichana ni zifuatazo;
-Umri kati ya miaka 19 mpaka 23.
-Awe natural (mweupe au mweusi) i.e asiwe aliyejicosmetics.
-Awe na elimu angalau kidato cha sita na kuendelea.
-Awe na nidhamu na upendo wa dhati.
-Awe tayari kupima HIV.
-Awe mrefu kiasi maana mimi ni mrefu pia.
-Asiwe mnene sana.
Kama uko tayari nipm tuanze kujuana