Natafuta msichana wa kuoa

Natafuta msichana wa kuoa

BMW Q7

Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
10
Reaction score
1
Mm ni mwanaume nina miaka 24 najua huku wapo wasichana warembo wenye tabia njema mm mtaan ni mpole sana so chance nakosa pia npo bize na kazi.....vigezo umri chini ya miaka 22 kabila sichagui wala elimu maana mpaka ujue jf ww sio mjnga npo arusha mwenye mapenz ya kwel ani pm tafadhal...
 
hizi mingo unazipendaa... nshakutana na ww huku mara ya tano hii doooh na wewe unatafuta nn......

Binafsi moyo wangu ushakuchagua wewe, potelea mbali embu nipe sifa zako za nje tabia zako sitaki kuzijua kwa sasa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom