juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,484
Ehhh ndio maana hamna namna, natafuta kampani.
Eeehhh ndio rafiki yangu kipenzi amefariki, RIP Jackson.
Na tukifunga chuo ntakua home tu kwakweli najua nna research ila ntahitaji marafiki.
Ndio nahitaj rafiki haswa akiwa mwanachuo ama ame-graduate itakua safi sana.
Ndio, awe kijana mwenzangu.
Eehh ndio kwakweli, nipo single so na wadada mwakaribishwa.
Alie rafiki wa kweli aje hapa.
Ndio napenda mpira,music, Korean series zile Sageuks za historical za kizaman kina Jumong na Muhyool,na nyngnezo.
Ndio,mimi ni shabiki wa Arsenal.
Basi nasoma sheria apo UDSM 3rd year.
Haya rafiki kazi kwako, afu kama kuna kamchongo ka kupiga ela rafiki tushtuane, eeeh ndio hiyo ndiomaana ya urafiki wa kweli.
Pombe sinywi ila kitimoto napiga kama sina akili nzuri.
Mie starehe angu viuno tu.
Basi rafiki ntafute apa 0653309478