confidential person
Member
- Feb 11, 2013
- 76
- 7
Mimi ni kijana Umri wa miaka 26 niko Mbeya, natafuta rafiki wa kike wa kuchati nae,aliye tayari anitumie Pm.
Duuh
Hivi kijana at that age bado mna muda wa kuchat na mtu usiyemjua just to kill time....
Huu udomozege ni shida aisee
Nipe Namba Ya Mama Yako,hapo Ndo Utajua Mm Ni Domo Zege Au Laa!