Natafuta mke mwalimu

Natafuta mke mwalimu

Jayffa

Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
81
Reaction score
5
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 ni mwalimu nahitaji mke wa kumuoa ambaye ni mwalimu.

Namba yangu ya whatsap 075282215
 
Hata mie natafuta mke mwalimu ili wanangu wajue kusoma wakiwa na miaka mitatu minne wanaanza la kwanza
 
chuo ulichopo ni cha vidume tu???
 
Unafikiri walimu wa sasa ni sawa na wale wa zamani, mnajidanganya bora hata ukatafuta huko kwenye field nyingine. Walimu wa sasa hivi ni vilaza na wala hawajui majukumu yao. Haya kila la kheri
 
pole ndugu walimu sikuhizi majnga njoo nkuuzie wangu mkuu mana keshanchosha kila ciku semina hv bvr zmepamba moto now hta futari napikiwa nadada wakazi.ucithubutu kujaribu safari ya matumaini yamaticha kamawesiticha najuta mwenzio.
 
hio id yako kama umechakachua jina la FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom