Natafuta marafiki wa whatsapp

Natafuta marafiki wa whatsapp

Jayffa

Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
81
Reaction score
5
Naitwa Jeffah nipo Kibaha natafuta marafiki wa kubadilishana mawazo kuanzia miaka 18-24.

Namba yangu ni 0752832215
 
mchumba wa kike umri miaka18_22 ulimpata?? naona umebadilisha maamuzi unataka wa kuchat tuuu..
 
wee mwalimu unatafuta marafiki wa umri huo ili iweje?
Wanafunzi wako wengi wana umri huo kwanini uje huku ?

We una miaka mingapi kwanza?
 
mchumba wa kike umri miaka18_22 ulimpata?? naona umebadilisha maamuzi unataka wa kuchat tuuu..

Hiyo ni mbinu mbadala ukichukua namba uki mtext akijua wakiume hajibu!
 
Hiyo ni mbinu mbadala ukichukua namba uki mtext akijua wakiume hajibu!

ahahahaa....anatuona sie vilaza wenzake, juzi anatafta mchumba leo marafiki wa kuchat
 
Na matusi yaneanzia huku huko kwenye group si itakuwa balaa!
 
Never take JF serious,
Kuna wanaume wanajidai mabinti na kuna mabinti wanajidai wanaume,
Ile post yako ya kwanza ya kutafuta mchumba uliishia wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom