Naitwa Mudy natafuta mpenzi mwenye mapenzi ya kweli ili ikiwezekana baadae aje kuwa mke wangu.
Sifa awe mnene na pia awe na kazi yoyote ile mimi nipo Dar ke.
Mawasiliano nipigie no.0652868486
Guyz,
Mimi ni ME nmetua jana mwanza but lonly hatari hata viwanja sivijui kwenye girl yoyote alie mwanza ani pm siyo kwa mahusiano ya kimapenzi lakini,only friends kwa walio mbali for charting...
Natafuta mwanamke humu kwa ajili ya mahusiano ya muda mrefu ya kimapenzi.
Awe na umri usiozidi miaka 35.
Awe ni mtanzania anayeishi Dar au awe anapenda kuishi Dar.
Awe hajaolewa wala juzaa...
Kichwa cha habari chajieleza,
Kutokana na jeuri aliyonayo mke wangu,natafuta mwanamke atakayenifariji kipndi hiki kigumu hukunikitafuta njia za kuachana na huyu mwanamke coz nimechoka sasa! Kama...
Hello my fellow JF Members,
Mimi ni msichana mwenye miaka 33, msomi, na ni muajiriwa Serikalini. Carreer-wize I am doing ok but I think it's about time I meet my future husband & soulmate wangu...
Habari,
Natafuta mwanamke wa kunizalia mtoto,umri wangu ni 30, nitamtunza na kutimiza mahitaji yake yote. Alie Tayari ani pm ilikufikia lengo hilo mimi npo Dar.Awe na miaka 24 mpk 32.
Karibu sana
Naishi mwanza, elimu yangu ni kidato cha 6, nina miaka 24, ninafanya vibarua vya muda kupata riziki, sina mpenzi kwa sasa ila nahtaji mpenzi mwenye sifa zifuatazo: 1. Asiwe mchoyo wa penzi 2...
Mimi nina umri wa miaka30 natafuta mke wa kuoa anaetoka morogoro sehemu yoyote. Awe tayari kuishi katika mazingira yoyote. Ni pm au nitafute kupitia email sethrodney21@yahoo.com
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30, natafuta mke wa kuoa, mwenye mapenzi ya kweli, mwenye umri 20-30.
Atayekua tayari ani Pm kwa mawasiliano zaidi
Asanteni
Hi all,
Natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana naye mawazo awe na miaka 30-40 anayejielewa,msomi na ambaye anatambua nini maana ya maisha karibuni wanawake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.