Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi nipo Mwanza natafuta marafiki wa kuchart nao pamoja. Jinsia zote na dini zot sibagui. Walio tayari wanitumie sms private
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta mwanamke kwa ajili mahusiano ya muda mrefu ya kimapenzi na awe yuko huru,umri asizidi miaka 35.Awe ni mtanzania anayeishi au yuko tayari kuishi Dar.Awe mkristo hai anayemcha Mungu.Maombi...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Am looking for a life long partner aged 28-38 am 41, she shouldcome from or be from one of the following tribes Singida, Maasai, Meru, send me a private mesage.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke aliye tayari kuolewa umri miaka 18_37 sina ubaguzi wa rangi wala kabila ila awe mrefu kiasi.napatikana kwa no.0752590897.kama aupo tayari please tusipotezeane muda.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi nikijana wa kitanzania naishi DAR ES SALAAM najitokeza kutafuta Girlfriend atakae kuwa mke wangu ikibidi. plz aliye tayari naomba tuwasiliane niko serious sitanii . SIFA ZANGU UMRI: MIAKA...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Natafuta mchumba mwenye sifa hizi; 1. Awe na umri usiozidi miaka 32 2. Elimu kuanzia diploma 3. Mkristo au muuslam aliyetayari kubadr dini na kuwa mkristo 4. Mcha Mungu 5. Anaejitambua kama mama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni msichana mwenye umri wa miaka 26 anafuta mwanaume wa kumuoa aliyetayari, yeye ni mweupe na mrefu wa wastani ni mnene wa wastani na ni mkristo.
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari zenu waheshimiwa, Nahitaji msichana ambaye nitaweka naye malengo ya mimi na yeye kuja kuwa mke na mme hapo baadae so hata kama bado anasoma(chuo) si vibaya. Nipo seriuos katika...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana, Nimejitokeza humu kutafuta mchumba,nahitaji mwanamke aliye seriously,mimi ni mtumishi wa Serikali,sihitaji mwanamke mwenye kazi,ila nahitaji mwanamke nwenye elimu ya...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Jambo Tanzania? Mimi ni Edu, 26.6 njoo tufanye maisha ila sifa ndio lazima uwe unajua kuongea na kusikia Kihaya au Kinyambo au Kiganda au Nyankole, tena uwe Mkristo, elimu yako weka kando ila uwe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Awe na uwezo wa kutuliza akili yangu na kunifanya nisahau niliyokutana nayo,ajitahda sna kuwa mwaminifu. Awe binti make mie mwanaume. Mengine call 0768688289;
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Natafuta dada wa kula bata weekends Arusha
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni mtu wa kawaida ila kutokana na hali iliyopo natafuta mwanamke wa kuchati nae mambo ya kikubwa.
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Mvulana uref 182simu mwembamba maji ya kunde naishi Tabora mjini nahitaji binti wa kuoa elimu nasoma degree chuo flani. ALIYE tayari ni PM
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji rafiki wa kike wa kuchat nae! asiwe ameolewa, awe mwenye heshima kwa rika zote!!! asiwe mlevi, asiwe mpiga vizinga.kama upo tayari ni PM Fursa fursani wakuu!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Poleni na mihangaiko wadau, Mimi ni kijana miaka 27ninafanya kazi kati moja ya mashirika ya umma ninatafuta mchumba (msichana) niko serious kwa hilo,ninaomba aliyetayari ani pm. Muwe na usiku mwema
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Napenda kuomba radhi kwa wadau wote wa humu mara nyingi ninapoingia jf huwa si logo aut. Najina na paswed hubaki free Hivo kuna mti alitumia sim yangu na namba yangu akaweka ujumbe hapo juu bila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wa Jf, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 26,natafuta binti aliyetayari kuingia kwenye mahusiano na mimi naomba awe mkristu,umri 18-23,anayejitambua. Aliyetayari ani pm tufahamiane...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom