Kwako dada unaetafuta mchumba

Kwako dada unaetafuta mchumba

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,294
Reaction score
4,680
Mimi nikijana wa kitanzania naishi DAR ES SALAAM najitokeza kutafuta Girlfriend atakae kuwa mke wangu ikibidi. plz aliye tayari naomba tuwasiliane niko serious sitanii .

SIFA ZANGU

UMRI: MIAKA 30

ELIMU: CHUO KIKUU (M.A)

DINI: MKRISTO

KIMO: MREFU

SIFA ZA NINAYE MTAFUTA

UMRI: 20-29

DINI: MKIRISTO

UMBO: LA KAWAIDA

ELIMU: AWE SECONDARY NA KUENDELEA

RANGI : YOYOTE

MAKAZI: DSM

AWE mpole,anayeenda na wakati, mrembo,mwenye hofu ya Mungu na anayeishi maisha yake(mimi sio judgemental),pia awe na akili ya kutafuta

Kwa aliye tayari naomba tuwasiliane kwa Pm

au

email

mathiassteve1@gmail.com

mathiassteve1 at gmail.com

Mdada ukishamaliza kunisoma,karibuni kwa mawasiliano.... natanguliza shukran
 
Mchumba umeruka kipengele cha kazi/kipato hauna kazi?
 
Seriously brother?

Vyuo vyote ulivyosoma umekosa, kazini umekosa, kanisani kote hola na hata mtaaani kwenu umekosa?

Unajitaftia stress za bure, unless unahamu ya kufanya mapenzi ila umekosa gia ya kuingilia.

JF ni jumba bovu ndugu likikuangua usianze kulialia.
 
Acha kutuzibia rizki, sisi tulio jf ndo sisi sisi tupo hizo sehemu ulizotaja
labda bwana kaamua atende muujiza tukutane jf na sio kanisani wala kwingine
 
Darling mchumba mbona kipengele cha muhimu sana umekiruka? How much do you make per month?
 
Hahaha Mungu ni mwaminifu atakupatia sawa na hitaji lako
 
ukiendekeza njaa mwishowe utaliwa tigo atoto
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana kila siku mnaliwa tigo, kisa kupenda vya bure Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
ukiendekeza njaa mwishowe utaliwa tigo atoto

Hahahaaaaaa!! Dogo katafute hela huko acha porojo, we ukiliwa tigo unadhani kila mtu analiwa!!! Pole yako
 
Last edited by a moderator:
HAO malaya tu...! wachumba wengi tu 30yrs ni kweli STILL VIGINI? mbona hajaongelea mtoa mada? kaharb wangp? lakn napta2!
 
HAO malaya tu...! wachumba wengi tu 30yrs ni kweli STILL VIGINI? mbona hajaongelea mtoa mada? kaharb wangp? lakn napta2!

Duuuh! Inaelekea hilo neno unapenda sana kulitumia, au ndio ile kimjazacho mtu ndicho kimtokacho!!!
 
Seriously brother?

Vyuo vyote ulivyosoma umekosa, kazini umekosa, kanisani kote hola na hata mtaaani kwenu umekosa?

Unajitaftia stress za bure, unless unahamu ya kufanya mapenzi ila umekosa gia ya kuingilia.

JF ni jumba bovu ndugu likikuangua usianze kulialia.
Kama ni Mungu ndio ameniongoza nipate huku nitapata.
 
Back
Top Bottom