J Jofeya Member Joined Jul 29, 2015 Posts 50 Reaction score 27 Jul 30, 2015 #1 Poleni na mihangaiko wadau, Mimi ni kijana miaka 27ninafanya kazi kati moja ya mashirika ya umma ninatafuta mchumba (msichana) niko serious kwa hilo,ninaomba aliyetayari ani pm. Muwe na usiku mwema
Poleni na mihangaiko wadau, Mimi ni kijana miaka 27ninafanya kazi kati moja ya mashirika ya umma ninatafuta mchumba (msichana) niko serious kwa hilo,ninaomba aliyetayari ani pm. Muwe na usiku mwema
g click JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 2,427 Reaction score 510 Jul 30, 2015 #2 Kwa hiyo yeyote tu kwako twende kazi
K kokuhilwa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 292 Reaction score 217 Jul 30, 2015 #3 g click said: Kwa hiyo yeyote tu kwako twende kazi Click to expand... teh teh teh