Natafuta mchumba mkristo wa kunifaa

Natafuta mchumba mkristo wa kunifaa

young eagle

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
29
Reaction score
4
Habari zenu waheshimiwa,

Nahitaji msichana ambaye nitaweka naye malengo ya mimi na yeye kuja kuwa mke na mme hapo baadae so hata kama bado anasoma(chuo) si vibaya.

Nipo seriuos katika hili na kama upo wewe(binti) utakayekuwa na sifa ntakazozitaja hapo chini usiogope kuni pm kwa upande wangu mimi ni kijana mcheshi,lakini pia ni mtulivu mwenye upendo wa kweli.Kwa yule nitakayempenda si m-babaishaji nikipenda napenda kweli.

Awe na sifa zifuatazo:-
Mkristo,mcha awe na umrikati ya miaka 20-24, Mungu,mtulivu na mpole(akiwa mcheshi pia si mbaya), awe na upendo wa kweli kwangu na kwa ndugu zangu, awe anajiheshimu na kujitunza na mwaminifu na mvumilivu hata akiwa mbali na mimi si mbaya.

Mwenye sifa hizo tajwa hapo juu asisite kuni-PM but awe serious.

Natanguliza shukrani

Asanteni
 
Habari zenu waheshimiwa
Nahitaji msichana ambaye nitaweka naye malengo ya mimi na yeye kuja kuwa mke na mme hapo baadae so hata kama bado anasoma(chuo) si vibaya.Nipo seriuos katika hili na kama upo wewe(binti) utakayekuwa na sifa ntakazozitaja hapo chini usiogope kuni pm kwa upande wangu mimi ni kijana mcheshi, lakini pia ni mtulivu mwenye upendo wa kweli kwa yule nitakayempenda si m-babaishaji nikipenda napenda kweli.



Awe na sifa zifuatazo:-
Mkristo,mcha awe na UMRI kati ya miaka 20-24, Mungu,mtulivu na mpole(akiwa mcheshi pia si mbaya), awe na upendo wa kweli kwangu na kwa ndugu zangu, awe anajiheshimu na kujitunza na mwaminifu na mvumilivu hata akiwa mbali na mimi si mbaya...
Mwenye sifa hizo tajwa hapo juu asisite kuni-PM but awe serius.
Natanguliza shukrani...
Akhsanteni

hapo kwenye red,kabla ya hiyo baadae utakuwa mvumilivu usimgegede mpaka hiyo baadae? maana wengine mnakuja huku jf kujifanya mnatafuta wachumba kumbe unakwepa gharama za kwenda kunua pale sinza mori! any way kila la kheri wapo wengi huku utawapata
 
hapo kwenye red,kabla ya hiyo baadae utakuwa mvumilivu usimgegede mpaka hiyo baadae? maana wengine mnakuja huku jf kujifanya mnatafuta wachumba kumbe unakwepa gharama za kwenda kunua pale sinza mori! any way kila la kheri wapo wengi huku utawapata

No no no mi ni mvumilivu sana na sinaga pupaa sitamgegeda
 
Ha haaa anakwepa ghalama kunununua pale sinza mori, iyo sentensi nimeipenda...ha haaaa
 
Back
Top Bottom