Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta mwanamke wa kufahamiana na Mungu akitujalia kuoana. Umri kuanzia miaka 29-38. Awe mcha Mungu na mwenye Malengo.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba ni PM
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kama we ni mrembo wa mkoa tajwa hapo juu ni PM tuwasiliane!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukipata msg hii nipm tupige story kibao za maisha.
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Natafuta mke wa kumuoa umri miaka 22-24 awe mkiristo, ambae yuko tayari ani pm tuongee.
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Mwanaume wa kiislam mwenye umri kuanzia miaka 30 na kuendelea, anaejua dini na maana ya Uislam, mwenye kufuata misingi ya dini ya kiislam anahitajika hapa, nina miaka 28 ila sina mume kwani...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Kama kichwa kinavyojieleza umri wangu ni miaka 23 , Nimehitimu chuo Naishi dar, mkristo Natafuta rafik wa kike umri 18-23, mwenye hofu ya mungu...awe dar. Natanguliza shukrani za dhati, katibu pm
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta mke awe; >mweupe >mrefu wastani >mkristo >kaz yoyote wasifu wangu -mweusi -mrefu wastani -shahada -mwajiriwa serikalini
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam, Natumaini mu bukheri wa afya ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye mada: Natafuta mpenzi, awe dada wa makamo anayenizidi umri, hivyo kwa makadirio awe kati ya 26-35, binafsi nina miaka 25, ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta rafiki mtu mzima anayeweza kuwa mke wangu endapo tutaelewana. Nipm.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sina maneno marefu sana. Moyo wangu uko barazani kusubiri ugeni wa mrembo wa ukweli tufurahie maisha. Mdomo wangu mzito nisiulizwe maswali mengi. Wewe msichana wa ukweli tukutane PM NB: Nahitaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta mke mtanzania tuishi wote hapa USA. Umri wangu miaka 40 na yeye awe na miaka kuanzia 26 mpaka 35 Awe Muarabu au half cast, awe Muislam Serious please tuwasiliane PM
0 Reactions
8 Replies
3K Views
I'm looking for a girlfriend, 17- 20 years. Nicheki Pm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipo serious, naomba uni pm tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta girlfriend age 21-26! Iam 28 aliyetayari ani pm!
0 Reactions
1 Replies
779 Views
Me ni boy to men,nahitaji mdada wa kuchati Nae Miaka22-30.Awe anauwezo wa kuchati bila ya kusema salio limeisha nirushie huku hapo. No zangu 0682321571 kubip unaruhusiwa mara moja. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Habari wana Jf, Mimi natafuta mke wa kuoa, awe mcha mungu, umri miaka 22 hadi 35. Tafadhali ayetayari ani PM
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nipo Singida, akiwa mtumishi idara yeyote hata askari pia coz mimi pia ni askari, umri wangu 25yrs. Namba 0768114209.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mimi nipo Mwanza natafuta marafiki wa kuchart nao pamoja. Jinsia zote na dini zot sibagui. Walio tayari wanitumie sms private
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom