Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni single,elimu yangu shahada,sina kazi napatikana Dar umri miaka 28,natafuta mpenzi wa kike,umri miaka kuanzia 23-26, elimu kuanzia kidato cha nne mpaka chuo. Kama upo tiari chukua namba...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Mimi ni kijana umri miaka 23, elimu yangu ni ya chuo kikuu. Natafuta rafiki wa kike mwenye MALENGO na MSIMAMO ambaye tunaweza kubadilishana mawazo, kupanga maisha na baadae MUNGU akijalia tuweze...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwanza namshukuru mungu kwa kunipa uhai kwa siku ya leo. Kimsingi niko hapa kuwaunganisha watu wanaotafuta WACHUMBA. Nimeamua kufanya hivi kwani hitaji la watu ni kubwa humu JF ila kunawatu...
1 Reactions
50 Replies
25K Views
nahitaji mke wa kufunga nae ndoa, awe na umri kati ya miaka 23-28, awe muslim anaemuogopa Mungu, awe anajitambua, anaejua thamani ya ndoa n.k.... niPM utajibiwa haraka NB. kabila yoyote
0 Reactions
0 Replies
832 Views
....mimi ni kijana(ME) umri 23 years, nina elimu ya chuo kikuu. Natafuta rafiki wa kike ili tushirikiane katika mambo mbalimbali na hata baadae kuoana kama ikiwezekana.....umri uwe kati ya...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
kwa mara nyingine najitokeza hapa... Natafuta rafiki wa kike ambaye ni mkristo mchaji na mwenye hofu ya Mungu ndani yake. Asizidi miaka 27, asiwe mfupi. kwa aliye serious anipm ... kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Nahitaji mwanamke ambaye tayali ni mtu mzima na pia awe mnene, mkweli, muwazi na mwenye upendo wa dhati pia awe na kazi. Naomba kama yupo ani PM au anitumie email hapa imani.mangowi@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Hi, Mdada wa miaka 20-25 ajitokeze haraka,kama vigezo vitatosha tuwe marafiki,wapenzi na hatimaye ndoa.. SIFA ZAKE 1.Awe mzuri 2.Awe mzuri 3.Awe mzuri 4.Elimu yoyote.. 5.Asiwe mfupi na...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Niahitaji Msichana mrembo kiasi.. Mwenye umri kuanzia 22 hadi 26 Mwenye shahada either ya bachelor of science in medicine, civil and electric and Mechanical engineering, computer science...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natafuta mchumba,mim ni bint wa miaka 29,ni mnene,natafuta mume wa kabila lolote,kwa aliye tayar kuwa baba wa watoto wangu.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
mimi ni kijana wa kiume, nina miaka 22, natafuta marafiki wa jinsia zote kwa ajili ya kupeana challenge katika maisha, nipo chuo kikuu, kama upo interested nipm ili tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
595 Views
helow wakina mlio single njooni tuzungumze juu ya maisha na namna yakujikwamua kimaisha weka Watsap number
0 Reactions
0 Replies
862 Views
gggggggggggg
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hello Ladies, hi. Natafuta mwanamke mrembo anayejitambua na ambaye yupo tayari Kuishi maisha ya ndoa not wasting my time. Awe mrembo - presentable FIGURE, umri usizidi miaka 27, awe anajitambua ...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Rafiki woote wa kike... Tuchatt tufahamiane na Tubadilishane mawazo, Naihisi huu urafikii unawezaa ukaniwezesha kupata Mpenzi wa kike, so ni PM usizidi miaka 22
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke mnene, mkweli, muwazi na mpole. 0655191544
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Maandiko: Mwanzo 2: 7, 15, 18- 23; 29: 1-30 Yaliyomo: 01. Utangulizi 02. Chanzo cha ndoa 03. Kusudi la ndoa 04. Njia za kupata mume au mke sahihi ( chaguo lako ) 05. Utajuaje huyu ni...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Nahitaji mwanamke mnene au bonge mkweli, muwazi na mpole. Umri wowote ila asiwe mzee please. 0655191544
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, Nimekua nikifuatilia matokeo ya Uchaguzi wa Kenya kupitia TV Channel ya CITIZEN. Kuna huyu binti anaitwa Lulu ananikosesha usingizi jamani. Yaani nkimuangalia tu basi mapigo ya moyo...
8 Reactions
92 Replies
12K Views
Dini, kabila lako na unayemtafuta pia umri njoo pm tuongee
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Back
Top Bottom