Je unatafuta mchumba(mke au mume)? Pata hapa

Je unatafuta mchumba(mke au mume)? Pata hapa

r.zube

Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
14
Reaction score
1
Kwanza namshukuru mungu kwa kunipa uhai kwa siku ya leo.

Kimsingi niko hapa kuwaunganisha watu wanaotafuta WACHUMBA.

Nimeamua kufanya hivi kwani hitaji la watu ni kubwa humu JF ila kunawatu wachache wanawakatisha tama watu wanao tafuta wachumba humu JFkitu ambacho sio kweli, kumbuka mchumba anaweza kupatikana popote.

HILI uweze kunganiswa mtafutaji anatakiwa azingatie vitu vifuatavo
1. Umri wake na umri wa mt anaetafua
2. Jinsia yake na jinsia anayoitafuta
3. Kazi yake
4. Dini yake na dini ya mtu anayemtafuta
5 Mwasiliano(ni muhimsana
6. Mahali anapoishi
7.Kazi anayofanya

Kwa kuzinata vitu hivyohapo juu,ntakuwa nmeuunganisha kwa mtu anaeedana na wewe
NAWATAKIA JIONI NJEMA NA MUNGU AWALINDE
 
natafuta mwanamke wa kuoa mwenye miaka 41 mwisho 50 mimi nina miaka 24 nipo temeke sudan,akipatikana ni ndoa haraka sana na awe din yeyote kaz yangu ni argent wa mabas yaendayo mkoan namba#0779293189 nipo sirias jaman
 
Sawa kaka naomba uni pm na kisha ueleze sifa zote za mtu unayemtafuta
 
natafuta mwanamke wa kuoa mwenye miaka 41 mwisho 50 mimi nina miaka 24 nipo temeke sudan,akipatikana ni ndoa haraka sana na awe din yeyote kaz yangu ni argent wa mabas yaendayo mkoan namba#0779293189 nipo sirias jaman
Wewe sema unatafuta wa kukulea maisha yamekuwa magumu
 
1.Mchamungu wa kiislam 2.asizidi miaka 27 coz am 30 yrs old 3.mrefu na mnene kiasi sio bonge rang yoyote sio ya mkorogo 4.kipato changu 10000 per day kutokana na ujasiriamali wangu ila naendelea kusaka ajira 5.elimu shahada ya sayansi ya jamii 6.mawasiliano email.athuman_jumanne@ymail.com
 
daah!!!
watu mmekulia wapi aseeh mpaka mtafute wachumba online? mtakuja kuoa majini mshangae...

yaani umesoma primary, secondary, chuo na bado mtaani huko kote hujapata mwanamke!!

huo utakua udomozege sasa
 
Kwanza namshukuru mungu kwa kunipa uhai kwa siku ya leo. Kimsingi hiko hapa kuwaunganisha watu wanaotafuta WACHUMBA. Nimeamua kufanya hivi kwan itaji la watu ni kubwa humu JF ila kunawatu wachache wanawakatisha tama watu wanao tafuta wachumba humu JFkitu ambacho sio kweli, kumbuka mchumba anaweza kupatikana popote.

HILI uweze kunganiswa mtafutji anatakiwa azingatie vitu vifuatavo
1. umri wake na umri wa mt anaetafua
2. jnsia yake na jinsia anayoitafuta
3. kazi yake
4. din yake na dini ya mtu anayemtafuta
5 mwasiliano(ni muhimsana
6. mahali anapoishi
7.kazi anayofanya

kwa kuzinata vitu hivyohapo juu,ntakuwa nmeuunganisha kwa mtu anaeedana na wewe
NAWATAKIA JIONI NJEMA NA MUNGU AWALINDE
hiki kifungu kimehakikiwa "ndiyooooo/hapanaaaaa" (kama mjengon vile) mkuu umejitahid kuekumbusha watu vitu vya msingi.... ila ukisema mtu ataje jinsia yake na ataje jinsia anayo itafuta inaleta utata kdogo.ingesomeka hivi "taja jinsia yako na vigezo vya mchumba unayemtarajia" lengo ni kukemea ushoga + usagaji TZ..
nisamehe kama nimekuudhi
 
Mashukuru mpaka sasa nshawaunganisha watu kumi, kwa wale wengine mlionitumia pm zenu kuweni wavumiliv nawatafutia mnaoendana na sifa husika, asanten
 
Mimi nahitaji mchumba wa kike,awe namiaka kuanzia 20-26
Awe mkristo,na mcha mungu.
Awe anapatikana dar au moro.
awe anajielewa kimaisha,yani asiwe tegemezi napenda mtu independent.
mawasiliano....0753-756956.
 
oshauri kwa wale wanaonotumia pm naomba mkumbuke kuandika mawasiliano
 
daah!!!
watu mmekulia wapi aseeh mpaka mtafute wachumba online? mtakuja kuoa majini mshangae...

yaani umesoma primary, secondary, chuo na bado mtaani huko kote hujapata mwanamke!!

huo utakua udomozege sasa

Bas ainasababu yakuwepo kwa hii thread kama mtu anaye basha wake asikosoe ombi la mwngine wakati na yeye anakuta kapaya au kapatwa hukuhuku@kama vp watu kama hawa wasiingie huku ku comment wachati na bwana zao kwa njia ya sms.Munatuboa bhana.
 
jaman kama kweli unatafuta ni vizuruka ni pm, na wale waliopata jaman naomba sana mrejesho, wengine tuwe na subira kwani tunaangalia sana vigezo vya mtu alivyo omba
 
Screenshot_2014-04-07-12-51-10-1.png
hmmm lol
 
mmmmm haya vijana endeleeni kutafutana najua mkikua mtaacha
 
Back
Top Bottom