msichana mwenye malengo pitia hapa.....

msichana mwenye malengo pitia hapa.....

just-imagine

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
373
Reaction score
449
....mimi ni kijana(ME) umri 23 years, nina elimu ya chuo kikuu. Natafuta rafiki wa kike ili tushirikiane katika mambo mbalimbali na hata baadae kuoana kama ikiwezekana.....umri uwe kati ya 18yrs-23yrs, sichagui dini, kabila, rangi wala elimu.....jambo muhimu awe ana MALENGO na mwenye MSIMAMO ili kwa pamoja tuijenge nyumba yetu..................
NB: kama upo serious ni-PM....kama utani pita pembeni please....















































 

Similar Discussions

Back
Top Bottom