Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 24, urefu 165cm, maji ya kunde, mwili wa wastan, mkristo, elimu yangu kdato cha 6 nimejiajir, naish Dar es salaam Natafuta marafik umri kuanzia miaka 20-30...
nimejiajiri,niko mid 20's mwanamke
napenda kufanya mazoezi ya ni mwemmba kiasi
ninamtafuta kwa ajili ya kuwa marafiki tu SIO WAPENZI
VIGEZO NIMTAKAE
1.above 28
2.single
3.awe...
Umri wangu ni miaka 45 natafuta mwanamke wa kuishi nae umri kuanzia 30-36 kwa upande wa uchumi ..maisha yangu ni daraja la kati zaidi najishughurisha na kilimo ..napendelea awe mkristo hasa...
Ndugu,
Natafuta rafiki.Rafiki ambaye tunaweza badilishana uzoefu katika maisha na ikiwezekana maisha yetu yote tuwe pamoja katika kushauriana kuhusu maisha kiujumla.Atakayekuwa tayari anitwangie...
habar nahtj mwanamke awe mzur na mrembo,model. Elimu from diploma to bachelor degree,age:18-25,awe virgin,mkristo,asiwe mfupi wala mnene. Kabila lolote. Aliye tayar anipm
Dini mkristo, umri kati ya 21 na 29, elimu angalau kidato cha nne zaidi ya hapo ni vizuri zaidi awe mwelewa. Mimi Nina miaka 34, mtumishi serikalini pia mjasiliamali nimeoa. Alie tayari tuwasiliane
Husika na Mada tajwa! Mm kijana 24 yrs, Bachelor Degree, Sina kazi(mpka mwakani)
Hitajio langu.....
Mwanmke 30~38
mnene
Muislamu
kazi yeyote
Nahitaji wa kuzaa na kulea nae Mtoto tu..
Nahitaji mwanamke wa kufunga nae ndoa awe maji ya kunde au mweupe... Awe msomi wa degree au diploma katika fani hizi ... Engineer,Doctor, Accountant, finance, business Administration...
Kwa wale mabinti wa YESU waliookoka na kumpenda MUNGU na ungetamani kuolewa na Mtumishi wa MUNGU, basi nafasi ndiyo hiyo, naomba uni pm, ukisema jina lako, mahali ulipo, na mahali unapoabudu...
Habari zenu wadau,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24..siku nne zilizopita nilipost thread ya kutafuta girl friend ambaye baadae tutakuwa wapenzi.
Ninashukuru kuwa nlifanikiwa kupata dada...
28yo, tall, black, businessman and athletic male looking for a little adventure with a stranger. female between 18-30 must apply with a picture. I will not respond to message with no picture...
Natafuta msichana wa kuchati nae awe mkristo awe anakaa Morogoro au Dar elimu kuanzia form 4. Umri awe kuanzia mika 20 hadi 23.
Ani PM nitampa namba ya simu tuwasiliane mimi nipo moja ya chuo...
Mm ni kijana nina umri wa miaka30,ki umbo ni mnene hvyo napendelea wanawake vimodo. Nikiwakumbatia huwa najisikia raha sana. Kama wewe ni modo nipm nikufate nikukumbatie.
Awe mrembo,awe anajitambua,Elimu kuanzia Kidato cha sita na kuendelea,nahitaji mchumba wa malengo badae ndoa endapo Allah akitufanyia wepesi,Umri 18-22,NB awe Muislam Kwa aliye tayari anaweza...
Wapendwa,
Nilijitokeza hapa mwisho wa wiki iliyopita kutafuka marafiki wa kike wa kuchati.
Najua wengi watajiuliza kwa nini nimeweka umri wa juu hivyo, ni kwa kuwa, na mimi nina umri unao range...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.