Educated from diploma to degree level,serious you want marriage,u have a good vision of what u want in marriage,u like to create ur family!!!u have a good shape!! .job or jobless!!!.here lm ur man...
Mimi ni kijana wa miaka 23 niko chuo degree mwaka wa 3 Dar es Salaam. Niko single na ninatafuta mpenzi wa kuwa nae kwenye mahusiano.Aliyetayari ani PM kwa mawasiliano zaidi
Ni kwaajili ya kubadilishana mawazo katika story mbali mbali za kimaisha,mapenzi na mengine mengi umli kuanzia 18 na kuendelea nicheki Facebook king suley Whatsapp no 0782498431.
Hello strangers
Nilikua mahabusu kwa zaidi ya mwezi kutokana na masahibu yaliyonikuta,nimepoteza mpenzi,pesa na mambo kibao but bado na hustle.
Umri wangu ni...
I need serious female escort to trip with to Iringa from Dsm and round trip as well, awe aged 20-27 and in case una bwana wako please ask permission usije ukaachwa bure!! kwa tamaa ya 1 week...
Mm ni mtanzania nisiye na makuu naitaji mwenza kma maandiko yavyosema mwanamke atamuacha mamaye na babaye na kuambatana na mumewe wawe kitu kimoja cbagui dini wala kabira umri kuanzia miaka...
Mm ni me.ni miaka 2 imepita tangu niachwe na aliyekuwa mke wangu .sasa nahitaji mke .elimu yangu ni FTC in electrical.mwajiriwa .miaka 42.naishi Dar dini mkristu.ninayemtaka.dini yeyote umri max...
Hi Ladies,
Natafuta rafiki wa kike/mpenzi tuwe kwenye mahusiano na baaade ndoa Mungu akibariki.
Awe tayari kunipa mapenzi yake yote nami nipo tayari kumuhudumia ipasavyo kama mwanamke wangu,na...
Nahitaji mwanadada tokea dar anayejielewa, mchapakazi na mpenda maendeleo mwenye changamoto za maisha age kuanzia 20 up to 24 and mwenye true love kama uko tayari ni pm au 0755091728.
Asante
Mm ni kijana miaka30,nahitaji mpenz/mchumba wa kike mwenye miaka 30-37 awe na elimu ya masters/phd. Vigezo vya kimaumbile na kimuonekano havitazingatiwa.
Kichwa cha habari hapo juu cha husika,
Jinsia yangu ni mwanaume urefu wastani rangi ya kunde na mail wa wastani sio mnene wala mwembamba elimu chuo kikuu kazi serikalini dini Mkristo, lugha nne...
Nimepata transfer ya kikazi mkoani Mwanza mi kwa asili yangu ni mgumu sana kutengeneza marafiki sababu ni mkimya hivyo kwa wenyeji hapa Mwanza jinsia zote ukiwa kijana wa -32 ni vizur zaidi...
Kama wewe ni girl age 18-35 na unaitaji mahusioni ya kweli na dhati kutoka kwa mwanaume atakayekujari,kupenda na kukupatia matunzo yote muhimu tafadhar ni PM.
mimi ni mvulana wa miaka 23, sasa niko chuo namalizia mwaka wa tatu, na natafuta msichana ambaye tutaku pamoja as friends na if God wishes tuwe loers.
my qualities:
urefu: 150 cm
rangi: maji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.