Mwanamke mrembo - Wanted wife

Mwanamke mrembo - Wanted wife

SAWEBOY

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
241
Reaction score
175
Hello Ladies, hi. Natafuta mwanamke mrembo anayejitambua na ambaye yupo tayari Kuishi maisha ya ndoa not wasting my time. Awe mrembo - presentable FIGURE, umri usizidi miaka 27, awe anajitambua , mwajiriwa / AU MJASIRIA MALI coz sitaki mwanamke asiye na future - remember mwanamke hasomeshwi na mume, nataka mwanamke anayejua thamani ya mwanaume !

Awe dini yeyote ilee, elimu kuanzia form 4 Hadi chuo kikuuu- master degree, awe na kijungu SIO FLAT SCREEN! Am sorry for that lakini huo Ndio upendeleo wangu. I A M VERY SERIOUSLY ! Mimi nipo mid 30's, employed, educated, Christian, 169cm tall, mwenye upendo wa kweli. NIMEUMIZWA VYA KUTOSHA sasa nahitaji MKE atakayenifanya nisahau yote niliyotendwa!

ONLY SERIOUS LADIES WELCOME through PM.
 
Mnaotafutaga wanawake humu ndani hamna kazi ya kufanya
 
Mmefanya umalaya huko mpaka mmechoka mnakuja huku kutafuta wachumba mamaeeeee
 
Tatizo lako hujitambui na pia hujui Kwanini JF admin walianzisha jukwaa hili. Na amini wapo wenye uhitaji Kama wangu....tutapatana na Kisha maisha yatasonga mbele....!
 
Sijielewi ndio umejuaje..... Good luck on your search.... Hope you'll get the desire of your heart.
 
Asante sana Kwa kunipa moyo! Mungu akubariki sana. Uwe na mchana mwema.
 
Hello Ladies, hi. Natafuta mwanamke mrembo anayejitambua na ambaye yupo tayari Kuishi maisha ya ndoa not wasting my time. Awe mrembo - presentable FIGURE, umri usizidi miaka 27, awe anajitambua , mwajiriwa / AU MJASIRIA MALI coz sitaki mwanamke asiye na future - remember mwanamke hasomeshwi na mume, nataka mwanamke anayejua thamani ya mwanaume !

Awe dini yeyote ilee, elimu kuanzia form 4 Hadi chuo kikuuu- master degree, awe na kijungu SIO FLAT SCREEN! Am sorry for that lakini huo Ndio upendeleo wangu. I A M VERY SERIOUSLY ! Mimi nipo mid 30's, employed, educated, Christian, 169cm tall, mwenye upendo wa kweli. NIMEUMIZWA VYA KUTOSHA sasa nahitaji MKE atakayenifanya nisahau yote niliyotendwa!

ONLY SERIOUS LADIES WELCOME through PM.

Hahahahahaha.. Eti kijungu safi sana wew ni Mtunzi mzuri wa maneno
 
Back
Top Bottom