Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

Madihani

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
6,326
Reaction score
7,528
Naishi Dar, mimi ni mwanaume, hakuna vigezo wala mashariti.

Tuonane PM kama uko tayari, wenye wapenzi pita kimya kimya.
 
👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣
 
Wapoti umepita kimya kimya ni vizuri
 
Last edited by a moderator:
Wee ni domo zengee huko dar mbona kuna mademu wengi zaidi ya wanaimendea?????????? Helllllllllllll
 
Wee ni domo zengee huko dar mbona kuna mademu wengi zaidi ya wanaimendea?????????? Helllllllllllll

Wewe mshamba wa mikoani,bora ungekuwa Dar,,uko mikoani halafu unajifanya mjanja
 
Unawe miguu kabla ya kulala. Bei ya sabuni imepaa
👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣👣
 
Chief JJ ameweka matangazo ya kutafuta wanawake hapa Jf mara mbili na kuleta mrejesho hapa lakini leo ananishangaa watu buana,sijui wanafikiria kwa kutumia nini?
 
Last edited by a moderator:
Duh..hatari..(nawaza huku napita kimyakimya)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom