I am looking for my MICKEY!

I am looking for my MICKEY!

MINNIE MO

Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
47
Reaction score
41
am a girl...btn 20-25 years!
black wa kawaida tu.am sooo lonely and every relationship i had before didnt work.i dont know why
i hv some problems in my life,mapoto ya hapa na pale but still stnding firm..kwa namna hii basi naomba uwe na true love na muelewa.kama unajijua ni player usije utanisababishia matatizo ya moyo.nihurumie!
naomba uwe na nia ya kweli kujicommit sio just for fun
UWE MREFU rangi yoyote.
uwe tayari unajitegemea na sitopenda kuwa tegemez kwako so ukipenda utaniwezesha kamtaji niwe entrepreneur tu cz sikubahatika kumaliza chuo kikuu
umri kuanzia 26 kuendelea
karibu.
 
hapo kwenye rangi,inamaana unataka mwanaume au mtaji??? kama unashida na kazi si useme tukusaidie
 
Umeshaanza kuwa tegemezi hapo unaposema utaniwezesha...
mjinga na mpitaji lazima wawe na negative thoughts...nimekuwa mkweli ili ujue nini nnachofanya.na hiyo ni optional..so amake sure anaenda kujicommit kwa mtu gani pia kama hatotaka niwe dependent.
hapo kwenye rangi,inamaana unataka mwanaume au mtaji??? kama unashida na kazi si useme tukusaidie

Nashukuru hapo mwisho kwa kua muwaz kwenye swala la.kuwezeshwa
 
mjinga na mpitaji lazima wawe na negative thoughts...nimekuwa mkweli ili ujue nini nnachofanya.na hiyo ni optional..so amake sure anaenda kujicommit kwa mtu gani pia kama hatotaka niwe dependent.
Unakuwa mjinga kumwita mwingine mjinga kwani ni ujinga kumfikiria mtu kuwa mjinga.
 
mjinga na mpitaji lazima wawe na negative thoughts...nimekuwa mkweli ili ujue nini nnachofanya.na hiyo ni optional..so amake sure anaenda kujicommit kwa mtu gani pia kama hatotaka niwe dependent.
Hongera sana mama.... acha nije pm
 
Nimechelewa kidogo, ila nichek pm naamini nafasi ni yangu
 
Back
Top Bottom