Jukwaa linauwezo mkubwa wa kukupa mwanaume kuliko mwanamke

Kiwengwa

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,103
24
Wakuu,

Katika tafiti zangu za kuangalia jukwaa hili kila siku na thread zinazofunguliwa nimekuja kugundua kuna uwezekano mkubwa wa mwanamke kupata mwenza wake kuliko kwa mwanaume.

Hii ni kwasababu asilimia kubwa ya watembeleaji wa jukwaa ni wanaume kuliko wanawake.

Wanaume msikate tamaa, wanawake wakishajua wanaweza pata wenza huku taarifa zitasambaa na watajaa telee
 
Hahaha wengi ni walewale,hao wanaume ni wakupiga na kutembea..inshort probability ya kupata mwenza anayefaa humu jf upo ila kwa asilimia ndogo sana.
 
Kwa hiyo unataka kunambia kwamba humu ndani wanaume hawana chao!!?
 
Back
Top Bottom