duh..haya mkuu kila la heri ila jitahidi kuzungukia makaniasa mengi uwezavyo..mabinti sayuni wapo wengi tu...sijaona mkuu...
Kazi kazi mradi mkono kinywani ufikee... Tambaa na fursa hiyo mamaa...Biashara ya kawaida ndio ipi??
Kazi kazi mradi mkono kinywani ufikee... Tambaa na fursa hiyo mamaa...
Ukimaanisha nini?