Nahitaji mwanamke mwenye malengo

Nahitaji mwanamke mwenye malengo

mjinishure

Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
86
Reaction score
56
Habari wa j4 kwamala ya kwanza najitokeza kuwatangazia natafuta mwanamke ambae nitabadilishana nae mawazo na mapenzi tutakapo itaji ila angalizo siitaji kuoa ila nitadumu nae kwenye uhusiano labda hapo badae kama nitabadilisha mawazo yangu twaweza oana sifa mwenye kujiheshimu,msili na si king'ang'anizi na mwenye upendo wakunibadisha ninapo kosea kimaisha nimeajiliwa selikalini pesa ndogo ndogo sihaba hainipigi chenga kwayoyote alieguswa nahuu ujumbe waweza nijibu inbox mda wowote kwani sijaoa nitakujibu na kukutumia picha yangu umri wangu nina miaka 29
 
Una kipaji cha uandishi mkuu. Kila la heri!
 
Husijari we wasubili kidogo wenziho wa selikalini watakuja naho ni wasili sana hila kwamala ya kwanza watakuchuna sihaba.
 
selikari ya wapi sasa au ya Ilinga ?
 
Alaf wewe una utani.eti shule zimefungwa ndo maana.
 
hakuna mwanamke aliyezaliwa kuwa na malengo duniani wrote waliumbwa wasaidizi. yaani akikukuta unazibua vyoo malengo anaanzia hapo kinyume na hivyo useme unataka kulelewa na wanawake waliolaaniwa.
 
1481141918836.png
 
Kila la kheri Mkuu usisahau kuleta mrejesho ukifanikiwa.
 
Back
Top Bottom