Mke mwema upo wapi?

tryphone005

JF-Expert Member
Jan 30, 2017
453
507
Nalipanda hili jukwaa tena kwa heshima zote na taadhima, ni wengi wameleta maombi yao humu ya kutafuta mwenzi wa maisha na wamefanikiwa,
Na mm sio ajabu nikirudia ombi langu humu, natafuta mke mwema.
Asiwe mpenda makuu, awe na elimu walau awe na fani yake maalum, awe mkweli, awe mkazi wa dar ama pwani, umri 23-28,
Kuhusu mm please jisikie huru kuja pm tuwasiliane kwa undani zaidi,
Welcome!
 
amakweli digital wake mitandaoni. Mm kweli mshamba nilijua mchumba tu ndio anatafutwa mitandaoni kumbe hadi mke
 
Nalipanda hili jukwaa tena kwa heshima zote na taadhima, ni wengi wameleta maombi yao humu ya kutafuta mwenzi wa maisha na wamefanikiwa,
Na mm sio ajabu nikirudia ombi langu humu, natafuta mke mwema.
Asiwe mpenda makuu, awe na elimu walau awe na fani yake maalum, awe mkweli, awe mkazi wa dar ama pwani, umri 23-28,
Kuhusu mm please jisikie huru kuja pm tuwasiliane kwa undani zaidi,
Welcome!
Kuna tatizo hapo
 
Mke mwema anatoka kwa bwana sio jamiiforum..... tuliopo huku sio wema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom