Kitokombe
Member
- Dec 22, 2016
- 69
- 22
Nina mwanamke ambae natarajia kumuoa cku za usoni.lkn Luna jambo ambalo linanitia shaka kwake!! Yaani Mara nyingi amekua akiniambia kuwa wanaume wengi wanamtaka na wengine wanataka kumuoa, nikimuuliza ansema hajawapenda ila ananipenda mm.sasa cku moja nikiwa kwao tumekaa tukijadili maisha yetu ya baadae lkn gafla ikapigwa cm akashindwa kupokea nilipomuuliza kulikoni akaniambia niipokee mm maana kuna mwanaume anamsumbua sana na hamtaki, nilipohoji zaidi akadai pia kuna sms alimtumia cku za nyuma anazo pia anioneshe mm nikakataa na nikamwambia ansema vile kwakua mm nipo pale mda ule lkn nisingekuwepo angepokea cm na sms asingenionesha. Sasa ndg.zangu wana JF mnabishaurije maana naona mtihani uko mbele yng
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app