Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni mwanamume ,wasifu wangu ni kama ifuatavyo; Urefu:173cm Umri 32 yrs Job:mjasiriamali Elimu: form4 Dini: Mkristo Colour:mweupe kdgo Body size:average Natafuta mwanamke mwenye sifa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za majukumuu wakuu Naomba niende kwenye maada mm ni kijana wa kiume umli 19 nimejiajili na kazi za apa mjini natafuta rafiki wa kike wakuchat nae kubadilishana mawazo na kupeana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Beauty lady tested hiv+ age between 18 -30 yrs needed quickly for marriage, pls Pm me if ur interested, also non Hiv+ are welcomed if they r ready to live with me unconditionally am tested Hiv+.
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni Mwanaume mwenye miaka 26 najitokeza kwa mara ya kwanza katika jukwa hili kwa lengo la hapo juu kwenye heading Nataka kumuoa. Sifa; Umri: miaka 19-22 Elimu : Angalau Certificate,Diploma...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Sifa zangu zangu Umri: 27, Dini: mkristo. Naishi: Dsm Kazi: mjasiliamali Mengine PM. SIFA ZA NIMTAKAYE Dini: yoyote mwenye hofu ya MUNGU. Kabila: lolote Rangi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kitanzania, Mwenye miaka 33 nakaribisha, Wanawake kwa wasichana wenye, Nia ya dhati ya kuanza uhusiano, Utakao elekea katika ndoa. Sifa; Ucha Mungu, Dini yeyote, (Nipo tayari...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
ok
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni kijana umri miaka 28 natafuta binti kuanzia miaka 22 - 27 aliye tayari kuolewa. Mengi zaidi tutajadili PM. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau habarini za kazi? na poleni na majukumu ya hapa na pale katika kulisukuma gurudumu la maisha. Leo ningependa niseme changamoto mbali mbali nilizokutananazo katika Love connect 1:Seriousness...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanajukwaa nahitaji mwanamke, black beuty, kabila lolote, macho makubwa, elimu na dini sio kipaumbele kwangu. Nipo Mbeya nina kazi yangu, nina umri 27. Ila azizidi miaka 24. Sent using Jamii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mie ni Mzee wa miaka 40 nimeoa na kuacha mara mbili kutokana na kuto-match. Nimekaa singo miaka miwili sasa bila mwenza. Nimechoka kujipikia, kufua na kupiga pasi. Nahtaji mwenza kuanzia miaka...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Habari wana JF, Nimemaliza chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe kufanya kazi binafsi ya kusafisha mazingira hususani kuzoa taka pamoja na kuzibua vyoo ajira hii inanisaidia kupata ridhiki kwa...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
wakati umefika sasa jamani nahitaji mwanamke wa kutengeneza nae future za maisha. naishi dodoma. mrefu kiasi. mweupe wastani. mwili wangu moderate sio mnene wala mwembamba. nina miaka 25. ukiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepost kuhusu kutafuta mchumba ambaye awe mke,lakn wengi wanaojitokeza wanataka urafiki tu.Mimi ni mtu mzima sitaki ma girl frnd ila nataka mchumba mwenye nia na utayari wa kuwa mke na kufanya...
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Wasalaam / : Bila shaka sijakosea jukwaa, Anahitajika mke wa baadae mwenye sifa zifuatazo. 1) Aje na akili yake tu, ( anaejielewa ) asibebe mkoba wala kitenge, kama akili yako haiko vyema...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
mimi ni mwanaume wa miaka 31 nipo dar nimeajiriwa natafuta msichana wa kuoa nimechoka kuwa mpweke nataka family awe na umri kuanzia miaka 23 kuendelea asiwe ametumia mkorogo elimu kuanzia kidato...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu! Natafuta rafiki wa kike aliye huru na muda wa kutosha kua kalibu na mimi awe anaishi Dar es salaam au hata mikoa jirani. Mimi najitegemea na bado sijaoa na nimuajiliwa kwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi, Natumai nyote ni wazima bila kupepesa macho nakwenda moja kwa moja kwenye mada aisee shida yangu mimi ni msichana tu awe mpenzi. Nikwamba ni mda mrefu sana niko single...
0 Reactions
2 Replies
941 Views
Wajameni salaaama! Jamani mwenzenu hakuna suala linanitatiza kama kutafuta mwanamke wa kuoa, si kwamba mimi nina mandazi mdomoni ila sasa kila ninayemnasa badae nagundua ni wrong way namani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kichwa cha habari kinajieleza, Mimi ni mwanaume wa miaka 29, mtumishi, mrefu cm 185, mwili wa kawaida. Msichana awe mweupe, au maji ya kunde, elimu kidato cha nne na kuendelea, mfanya kazi au...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom