Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Jina kamili ni Abdulkadir Bin Hassan, Naishi Tanga, Kazi yangu ni Tour guide, Nina miaka 20, Nahitaji mpenzi serious nahitaji mwanamke anae jitambua kutokana na umri wangu nimeona ni jambo jema...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Natafuta rafiki wa kike (girlfriend) wa kubadilishana naye fikra na uzoefu wa mambo mbalimbali. Wasifu Wangu Mfupi kiasi, 5'5 ft, Maji ya kunde Umri,miaka 28 Ni mkristo Nina kazi Napendelea...
0 Reactions
482 Replies
83K Views
Habari za jioni ladies and gentlemen poleni na mihangaiko ya siku nzima. Kuna dada leo ameleta mrejesho na amenitia moyo aliposema tangu 2013 alikua akitafuta ila amekuja kufanikiwa mwaka huu...
11 Reactions
83 Replies
8K Views
Kama kichwa kilivyo, Kwa mtu timamu hakuna asiyejua hilo ni jukwaa la mlengo gani. Lakini cha kushangaza anatuma mtu post ya kusaka mchumba kama jukwaa linavyotaka, mtu anaanza kumtukana mleta...
18 Reactions
27 Replies
3K Views
Naishi Dar ni kijana/boy mwenye umri wa miaka 22 natafuta/nahitaji girlfriend mwenye age kati ya 20-21 awe musilum pia awe ni mkazi wa Dar karibu PM kama utakuwa uko tayari mengine yatafuata.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna mtu ameniambia nimfwate PM nisaidien
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Bint wa kiislam mwenye nia ya kuolewa...awe ana uelewa wa dini ya kiislam vizuri. AMUOGOPE ALLAH. Swala awe ana swali. Stara na ajiheshimu. Awe hajawahi olewa. Awe hajazaa. Asiwe na historia...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini wana MMU Mimi ni kijana wa miaka 27 nnaejiweza kumudu mahitaji yangu na hata ya famiilia ingawa mimi ni mleemavu nmebaatika kusoma na kupata kazi. Nipo single hii ni kwasababu my...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Imefika wakati baada ya kujitathimini na kuona nnatosha kuwa na mwenzi wa maisha nimeamua nije kwa wanajamvi hususani wanawake na niko very serious na hili jambo nimeona nije niliwasilishe kama...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Jf single somen kichwa cha habar na mchukue hatua
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa yeyote aliye tayari awe na sifa zifuatazo. Awe na elimu ya ngazi shahada ya kwanza na awe na mapenzi ya kweli. Karibu kutuma maombi pm
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nafuta rafiki wa kike, umri miaka 20 hadi 24, baadae aje kuwa mchumba na hatimae kuwa mke. Awe anaishi Daresalaam, na mkristo. Mim nina umri wa miaka 26, na ninafanya kazi. nipo Dar pia. Karibu...
2 Reactions
3 Replies
976 Views
Habari wanajamvi, Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 28 nimeajiriwa kwenye sekta ya fedha, ni mrefu (6 feet), maji ya kunde. Sina ubaguzi wa dini ila mchumba asizidi miaka 37. Ahsante
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nawasilisha...umri wake kuanzia 25--------+ hata kama nke ya ntu nipm tutayajenga tu
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Halo Guys (Ladies and Gentlemen) Kama uzi unavyojieleza, Nimejitokeza hapa jukwani kutoa langu la moyoni Incase kuna mdada umri chini ya miaka 28 anahitaji mchumba basi aniPM Sifa: Awe mkristo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Natafuta msichana wa kuanzisha nae mahusiano ili tue mke na mume kiuchumi siko vizur ila hicho kwenye picha ndicho kitega uchumi changu kwa alie tayar anichek 0718318745'; 0677950996 Sent using...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mtafutaji hachoki, nahitaji mchumba (mke) awe anaishi kanda ya ziwa. Mimi n kijana mjasiliamali nina umli wa miaka 33. Ninatafuta mke mwenye umli kai ya miaka 26 hadi 33, awe mkristo, elimu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi guys, Mimi ni kijana wa miaka 26, fresher kutoka Chuo. Nahitaji msichana wa angalau 20-25 kwa ajili ya serious relationship na baadae ndoa. Awe muislam na awe awe tayari kuambatana nami popote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, mtanzania,Nimejitokeza kwenye safu hii ya marafiki kwa lengo la kutafuta rafiki mmoja wa kike ( mchumba), mstaarabu na anayejiheshimu, ambaye...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Back
Top Bottom