Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
Kama kichwa kilivyo,
Kwa mtu timamu hakuna asiyejua hilo ni jukwaa la mlengo gani. Lakini cha kushangaza anatuma mtu post ya kusaka mchumba kama jukwaa linavyotaka,
mtu anaanza kumtukana mleta mada, mara oooh mtaani hujawaona, mara acha uhuni, mara humu kuna mataoeli, mara kwenu hujafundwa, mara wanaume kweli wameisha wadada mpaka mnajitangaza na blah blah nyingi.
Swali, wewe kama una kereka sana na hili jukwaa why unalifunguaa? Je hujayaona ma jukwaa mengine yasiyokukera? Hao watu wa hivyo ni kama wa naenda against na sheria za jukwaa hilo, naomba sana sana wanaotumia vibaya jukwaa hili wafungiwe maisha. Itakuwa fundisho kwa wenye lengo ovu la ivyo.
Nasema hivyo kwa kuwa mimi ni mmoja wa wafaidika wa jukwaa hilo kwa kumpata mwenzangu tena mpaka leo hatua shida sio mwenza tu jukwaa hili limenikutanisha na marafiki pendwa mpaka kusaidiana sana kwenye jamii na maisha kwa ujumla.
Huwa inaniumagaa sana kwa hawa ma dream killers. Hapa ni sawa na popote.
Ahsante kwa mtakaonielewa.