Iam single,am looking for a single man aliyetayar kwa mahusiano serious,Kama uko below hiyo age ,pls...dont bother kunipm....naomba wew kaka ambaye hauko serious usinipm
I am 28,
Naishi Dar...
Habari za humu ndani?
Kwa heshima kubwa najitokeza hapa kutafuta MKE MGUMBA
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 48
Nimejitokeza hapa kutafuta MWANAMKE MWENYE KUSHINDWA KUPATA MTOTO AU...
Natafutamke pm kama unaweza.
Sifa. Awe mzur kiasi,mrefu kiasi mweupe kiasi mcha mungu ndo sifa kubwa kulikovyote
Pm then utapata namba ya cmu then tutachat kuwasap zaidi.
Mimi ni kijana nina umri miaka 27 Natafuta mke wa kuoana naye awe mwaminifu katika mapezi mwenye nia yakujenga dini yoyote rangi yoyote ila awe na shepu zuri tu umri 19-25 alie tayari aje pm au...
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nina elimu ya kidato cha nne + college certificate ya fani ya IT(information Technology)
ni mweusi na mwembamba kiasi
Natafuta mpenzi wa kike mwenye umri...
Habari wanajamvi,
Mimi kijana wa kiume mwenye miaka 20's.
Nina shahada ya uhandisi wa umeme.
Nimejiajiri katika fani yangu hiyo hiyo.
Natafuta rafiki ambae atakuja kua mke hapo baadae.
Awe...
wana jf hamjambo?...
Napenda kuwatangazia kuwa namtafuta mchumba wa kike ambae mungu akitujalia tutafunga nae ndoa.
Sifa zangu:
•Rangi: Maji ya kunde
•Jinsia: male
• Umri ...
Hellow,
Naitwa Benjamini Kaswagula, naishi Bagamoyo, umri wangu ni miaka 34, mkristu, natafuta rafiki wakike ambaye baadaye tutaoana mwaka 2019/3/25.
Lengo kubwa kua na muda mwingi wa...
Habari wana jamvi la JF!.
Sina makuu...nahitaji mpz awe wa kike umri wowote..awe mwenye matatizo yz kipesa au kimaisha ntamsaidia mawazo hata pesa. Ila ku-do sitohitaji. Sina tamaa za mwili maaba...
Habarini ma friends,
Natafuta. Msichana anaefaa kuwa mke wa mtu. Anayejitambua. Anaejieshimu. Umri 18-21 dini yoyote. Asiwe Mmbuli Mrangi wala Mnyaturu. Me umri wangu 25. Kama yupo anicheki...
naitwa Aicca icca, mimi ni msichana wa miaka 24 soon 25,natafuta mwanaume badae awe mchumba na mme,nature ya kazi inanifanya niwe mbali kidogo na kuendana na ulimwengu unavoenda,
mimi ni mkristo...
Ninastable ajira na shughuli zingine za kiuchumi.
Nahitaji
1. Mdada mzuri sana
2. awe na miaka 22-28
3. awe na elimu nzuri---ikiwa ya chuo nzuri zaidi.
4. awe tayari kuwa kwenye uhusiano wa...
Wadau kama kichwa cha habar apo juu nikwamba daah am stil single this kills me nataka msichana jamani eeh dem yyte awe dar apa not above 35 mimi nina 25 yrs.....ur welcome ladies...
Kuna bibie humu JF.. nimejikuta tu.. nimempenda.. hii ni kutokana na michango yake.. anavyojiamini anapotoa hoja...ana msimamo... na husimamia anachokisema... naomba ushauri... naogopa kumtaja...
Naitwa Khamis naishi dar ni Doctor to be , Natafuta girlfriend atakaekuja kuwa my wife bdae, Awe na age kuanzia 18-24 yrs ,awe mwembamba wa wastan na ni muslim bt hata kama ni din tofauti it's k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.