Habarini wadau wa jukwaa la love connect:
Natafuta mchumba wa kuoa mwenye vigezo vifuatavyo;
1.Kabila-msukuma
2.Dini-mkirsto
3.Rangi-maji ya kunde/mweupe/white is fashion....
4.Umri-miaka 18-22...
Habari za weekend wananchi wenzangu,
Napenda kuwapa heshima kubwa wote wanaochangia humu JF.
Nimekuwa nikifanya research juu ya watafutao wapenzi, wake, michepuko na mirejesho yao pia...
Kama kichwa kinavyojieleza..
Natafuta mwanamke aliyetayari kuolewa in 6 months
Sifa:
Muislam
Hajazaa
Between 20-30 yrs
Si mnene, mrefu mweupe ni sifa ya ziada
Elimu yeyote
HIV free
Sifa zangu...
Habari wana jamvi,
Kama kichwa cha habari apo juu kinavyosomeka,
Nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo;
1.Awe Muislam mwenye imani na dini
2.Umri 22-24
3.Elimu kuanzia kidato cha 6 na...
Mimi ni girl miaka 24 model sio muongeaji sana, natafuta mwanaume wenye umri kati ya miaka 25-30 kwa ajili ya kubadilisha mawazo ikiwezekana kuwa mume, awe ameokoka, sitaki sharobaro.
Uliyetayari...
Salamu wadau,
Kwa heshima na taadhima na wajulisha kwamba natafuta mchumba/mpenzi wa kike au niseme mwanamke. Angalau awe na umri wa kuanzia miaka 20-45.
Sifa: Awe mcha Mungu, imani yoyote, awe...
Mimi ni kijana wa miaka 31 ni mkristo nakaa mtwara vjjn nahitaji mke awe anakaa mtwara awe mkristo umri kuanzia miaka 18-28 kwa mawasiliano zaidi karibuni Pm
Baada ya kuonja utamu Wa mwanamke mwenye maji,nimenogewa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na yote haya kanifundisha kapeace[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Natarajia kufunga ndoa ila mchumba...
sina uhakika ila nauliza kama ni sahihi kua na urafiki na mtu ambaye zamani alikua anatoka na mchumba,mke au mume wako......hivi inawezekana kweli kukajengeka urafiki hapo....
Kichwa cha habari kinajieleeza mimi ni kijana wa miaka 32 naishi dsm natafuta msichana wa kitusi aliepo dsm umri kuanzia miaka 20 mpaka 35 aliye tayari aje pm
jaman ndugu zangu ninakila kitu ambacho mwanamke anahitaji ila baada ya kuumizwa kwa muda kwenye mapenzi,nilistop mahusiano ili nipate break , sasa nimerudi nahitaji mahusiano yatakayo pelekea...
Wasifu wangu
Umri: 28
Dini: mkristo
Kazi: Nimeajiriwa
Natafuta mpenzi baadae awe mke umri kuanzia miaka 26 kushuka chini , awe ameajiriwa au awe na shughuli ya kumuingizia kipato, atokee mikoa...
Habari wana love connect......
Natafuta mke wa kuoa serious;sifa zangu
-Age 29
-Kazi Mwajiriwa
-Elimu Degree ya kwanza
-Dini Mkristo
-Makazi Dar es salaam
sifa za mke nimtakaye
-Age 20-28...
Natafuta mchumba umri kuanzia miaka30-35
Awe mkristo (asiwe sabato)
Awe na kazi yakumuingizia kipato.
Aliyetayali kuwa mume wamtu na anaejitambua nakujieshimu.
Nb.sitaki brah brah njooo pm...
Habarini za jioni wapendwa,
Natafuta mume wa kuishi naye miaka kuanzia 35-45 mwenye kufanya kazi familia isilale njaa au mfanyabiashara staki utani wala kejeli.
Asante
Sent from my TECNO W5...
Wakuu Kichwa kinajieleza. Nina Miaka 36
1. Awe Mkristo (Sio Msabato)
2. Umri miaka 25-30
3. Ikiwa ana Mtoto asizidi mmoja
4. Awe mnene asiwe mwembamba
5. Kabila lolote.
NITAKAPOKUWA NIMEMPATA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.