Natafuta Mke aliyeathirika na virusi vya UKIMWI

Status
Not open for further replies.

Albert Alinanuswe

Senior Member
Oct 2, 2017
196
274
Wakuu Kichwa kinajieleza. Nina Miaka 36
1. Awe Mkristo (Sio Msabato)
2. Umri miaka 25-30
3. Ikiwa ana Mtoto asizidi mmoja
4. Awe mnene asiwe mwembamba
5. Kabila lolote.
NITAKAPOKUWA NIMEMPATA NITAOMBA MODERATORS WAUFUNGE HUU UZI KWAHIYO MKIONA HAUJAFUNGWA MAANA YAKE BADO HAJAPATIKANA
Mwenye hizo sifa ani PM
 
Mungu akubariki....uishi kwa afya milele

Ammen ndugu yangu. Maisha ya ulimwengu huu ni taabu na ubatili. Magonjwa na shida vinaambatana nasi. Unapopata ugonjwa usijione mnyonge, usijione wewe ndio una bahati mbaya kuliko wengine. Think bigger, fight for your happiness, usitoe nafasi ya kukata tamaaa na kutangazia wengine wakuhurumie. Jiunge kwenye club/clinic zenye watu wanaofanana na wewe ili uwe na amani na faraja toka kwa wanaolijua tatizo kiundani. Humu utaumizwa tu. Sikuwa na lengo la kukuumiza... nilitaka upanue ufikiri.
 
Wakuu Kichwa kinajieleza. Nina Miaka 36
1. Awe Mkristo (Sio Msabato)
2. Umri miaka 25-30
3. Ikiwa ana Mtoto asizidi mmoja
4. Awe mnene asiwe mwembamba
5. Kabila lolote.

Mwenye hizo sifa ani PM
Aisee bro, ningekushauri kitu kimoja. Nenda kwenye vituo vya ushauri au hizi CTC Center onana na wale wahusika unawaeleza kuwa mimi nina hali hii ila ninahitaji kupata mwenzangu wa ndoa. Wale huwa wanakutanisha watu wenye uhitaji wa namna hiyo. Kuna ndugu yangu alikuwa anapata huduma ya ARV's kwenye kituo kimoja hivi, alimweleza yule nurse pale kituoni hata haikuchukua muda alimkutanisha na dada mmoja na tayari wameshafunga ndoa. Siku aliyoenda alikuta kuna wadada kadhaa walikuwa wameacha picha zao na contacts kwa yule mhudumu..... Mungu akutangulie!
 
Unatafuta mke au unatafuta wa kuuguzana naye? Si useme tu na wewe unao sasa nataka wa kukupikia na kukufulia na kukufunga nepieee
Jambo linalofanya vita dhidi ya UKIMWI kuwa vigumu ni UNYANYAPAA na watu wengi kuamini kuwa virusi (HIV) vipo kwa ajili ya watu fulani tu (na kamwe si wao) na kwamba anayevipata anapaswa kutazamwa kama si mtu wa sayari hii.
 
Wakuu Kichwa kinajieleza. Nina Miaka 36
1. Awe Mkristo (Sio Msabato)
2. Umri miaka 25-30
3. Ikiwa ana Mtoto asizidi mmoja
4. Awe mnene asiwe mwembamba
5. Kabila lolote.

Mwenye hizo sifa ani PM
Usijali Mkuu kwa jinsi tunavyowafamu watakuinbox waliomo Jf jaribu wote uchumi umekaba.
 
Wakuu Kichwa kinajieleza. Nina Miaka 36
1. Awe Mkristo (Sio Msabato)
2. Umri miaka 25-30
3. Ikiwa ana Mtoto asizidi mmoja
4. Awe mnene asiwe mwembamba
5. Kabila lolote.

Mwenye hizo sifa ani PM
Nenda kituo cha Ushauri nasaha omba orodha ya Wateja waliokuja kupima chagua Majina ya Kike na umri wao walioathirika uwapigie utawapata wakutosha
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom