Hivi ni sahihi,kujenga urafiki na mtu ambaye zamani alikua anatembea na mchumba ako..

vkeisy2006

JF-Expert Member
Mar 26, 2010
229
99
sina uhakika ila nauliza kama ni sahihi kua na urafiki na mtu ambaye zamani alikua anatoka na mchumba,mke au mume wako......hivi inawezekana kweli kukajengeka urafiki hapo....
 
hujasema bado,tueleze ilikuwaje ili upate ushauri kamili .Ukienda kwa daktari ukasema sijisikii vizuri,utaishia kupewa PANADOL.kWA HIYO sema tu mkuu hatumwambii mtu sie.ILIKUWAJE?????
 
Kama alikuwa anatoka na mume wangu sidhani kama kutakuwa na urafiki hapo...anyway define urafiki kwanza....
 
yani ni hivi siujui ukweli ila i think kila mtu alitongozwa kwa mda wake....then wote tukawa bila kujua....halafu mi nilipogundua ananicheat nikamuacha lakini he said ananipenda na ni kwelei akawa na mimi co yule girl mwingine aliendelea na maisha yake na watu wengine..... its almost five years nau.....and i think she wants to be my friend coz sms haiishi....manaendeleaje mpo.....how is u.....hjiki na kile......namjibu ila am not sure kwamb she can be my friend.....nsije nkaibua uhusiano uliokufa hichi ndo nachoogopa.....
 
Mhhh,

Naomba uwe mbayuwayu. Akili ya kuambiwa.....!!

Binafsi sitaki hata kumjua mtu aliyekuwa boyfriend wa mke wangu. Inanifanya kichwa kiume siku nzima nikifikiria siku ambayo naweza kuonana na mtu wa namna hiyo. Na endelee kuwepo ila kujaribu kujipitisha pitisha kwangu ni kunitafutia matatizo! Sitaki, kwani naweza kujikuta mikononi mwa afande Mwita bure!!
 
yani ni hivi siujui ukweli ila i think kila mtu alitongozwa kwa mda wake....then wote tukawa bila kujua....halafu mi nilipogundua ananicheat nikamuacha lakini he said ananipenda na ni kwelei akawa na mimi co yule girl mwingine aliendelea na maisha yake na watu wengine..... its almost five years nau.....and i think she wants to be my friend coz sms haiishi....manaendeleaje mpo.....how is u.....hjiki na kile......namjibu ila am not sure kwamb she can be my friend.....nsije nkaibua uhusiano uliokufa hichi ndo nachoogopa.....

Mpendwa, wasiwasi ndio akili, sishauri uukaribishe huo urafiki....
 
yani ni hivi siujui ukweli ila i think kila mtu alitongozwa kwa mda wake....then wote tukawa bila kujua....halafu mi nilipogundua ananicheat nikamuacha lakini he said ananipenda na ni kwelei akawa na mimi co yule girl mwingine aliendelea na maisha yake na watu wengine..... its almost five years nau.....and i think she wants to be my friend coz sms haiishi....manaendeleaje mpo.....how is u.....hjiki na kile......namjibu ila am not sure kwamb she can be my friend.....nsije nkaibua uhusiano uliokufa hichi ndo nachoogopa.....

mmmh.....hapana hakuna urafiki hapo...mwambie akukome
 
Kama hutaki matatizo mpige kibuti...labda anataka kujisogeza alafu achokonoe!
 
yani ni hivi siujui ukweli ila i think kila mtu alitongozwa kwa mda wake....then wote tukawa bila kujua....halafu mi nilipogundua ananicheat nikamuacha lakini he said ananipenda na ni kwelei akawa na mimi co yule girl mwingine aliendelea na maisha yake na watu wengine..... its almost five years nau.....and i think she wants to be my friend coz sms haiishi....manaendeleaje mpo.....how is u.....hjiki na kile......namjibu ila am not sure kwamb she can be my friend.....nsije nkaibua uhusiano uliokufa hichi ndo nachoogopa.....

mnaendeleaje my foot!!! is it real her concern??? na mbona akuulize wewe??

wewe be xtra careful binti

you are inviting trouble in paradise!!!!
 
Mpendwa hapo hakuna urafiki na usipoangalia unaweza kupatwa na kubwa la ajabu kwa urafiki utakaoujenga ana lake jambo huyo! mimi yalishanikuta kama hayo ex wa mr. alikuwa na speed ya ajabu ya urafiki lakn mwisho wa siku aliniletea balaa ambalo sitalisahau naomba uepukane na huyo mtu tena kimbia mbio
 
Hebu tupe short info ilikuwaje wakaachana mpaka ikahamia kwako?:gossip:

Yeah atupatie maelezo ; kwangu mie imekaa kihatari zaidi; urafiki waweza kuwa wa mashaka huo! Najua mnaweza kufahamiana na kuishi wastaarabu lakini sio kuwa marafiki; kiafrika no; chancens za kuwa ni in good faith ni ndogo sana!
 
oopss am sorry!

Naunga mkono maelezo ya wote wanohisi vibaya na hasa kwa nature ya hizo sms uzipatazo kutoka huko kwa x wake; ingekuwa mnakutana barabarani yes; lakini hiyo ya kutafutana kwa sms? mmh ni hatari; aafu kapataje namba yako?

Halafu why nau? and not after 1 yr or 2 or 3yrs?

Nway! Mwenzio anataarifa na kinachojiri? whats the reaction?
 
No, no, no na haina maana you are a bad person, you do not want to let history repeat itself. I refer to that as self-preservation....

Yaani huwa inachosha kuwa kwenye heart-break hotel... this is what you are destined to - ukijenga urafiki... unless you are a glutton for punishment.
 
mmmh.....hapana hakuna urafiki hapo...mwambie akukome

hapana, asimwambie amkome, but asiukaribishe huo urafiki kihivyo, ila nakushauri you have to be
carefull with her, that may keep you in a fine sight from her. yaani kuwa rafiki yake kimwili lakini kiakili kuwa tofauti sana
 
sina uhakika ila nauliza kama ni sahihi kua na urafiki na mtu ambaye zamani alikua anatoka na mchumba,mke au mume wako......hivi inawezekana kweli kukajengeka urafiki hapo....

Sioni ajabu kwa sababu kabla ya ndoa kila mtu anakuwa na mahusiano mengi na si kila mahusiano lazima kila mmoja awajue wahusike! Mbona wengi siku hizi ndio wanakuwa kwenye kamati za maandalizi ya harusi!!!!????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom