Natafuta mwenza

Habarini za jioni wapendwa natafuta mume wa kuishi naye Miaka Kuanzia 35-45 mwenye kufanya kazi familia isilale Njaa au mfanyabiashara Staki utani wala kejeli asante

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Nipo hapa, tupia namba tuwasiliane

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Habarini za jioni wapendwa natafuta mume wa kuishi naye Miaka Kuanzia 35-45 mwenye kufanya kazi familia isilale Njaa au mfanyabiashara Staki utani wala kejeli asante

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Huu mwandiko unaonyesha we ni mkali na jeuri sana!!!
Samahani lakini
Navuta picha unamkaribisha chakula mpenzi wako mpya CHAKULA TAYARI!!!!!!!
 
Miaka 25 vp Humtaki?
 
Huu mwandiko unaonyesha we ni mkali na jeuri sana!!!
Samahani lakini
Navuta picha unamkaribisha chakula mpenzi wako mpya CHAKULA TAYARI!!!!!!!
Mimi siyo mkari Ila nimetoa tu angalizo

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom