Natafuta mke, Awe na sifa hizi

Baraka DSM

Member
Sep 12, 2017
67
71
Habari wana love connect......
Natafuta mke wa kuoa serious;sifa zangu
-Age 29
-Kazi Mwajiriwa
-Elimu Degree ya kwanza
-Dini Mkristo
-Makazi Dar es salaam

sifa za mke nimtakaye
-Age 20-28
-Kazi ata asipokua nayo sawa tu,
-Elimu Certificate,Diploma,Degree, Masters,PHD
-Dini mkristo
-Makazi popote Tanzania.

Nakaribisha PM jamani,karne hii familia zinaanzia popote ata kwenye daladala watu wanatongozana na wanaoana.
 
Huuuuuh huuuuuh this is Machakosi and Murang'a.

Can't you be serious even once in your life!!?

Any way , keep traying devil's workshop you will be awarded a Mercedez Beanz .
 
Huuuuuh huuuuuh this is Machakosi and Murang'a.

Can't you be serious even once in your life!!?

Any way , keep traying devil's workshop you will be awarded a Mercedez Beanz .
Nyie mko wengi sana tunawajua, watu wakukatisha tamaa
 
Umesoma had chuo kikuu alafu huna uwezo wa kutongoza shol yaan uko domo zege, mbona minada ya nguo ni nyingi sana n huko minadan huwa kuna mashol kibao ukikonyeza tu tiar mambo yanakaa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu inawezekana kweli kibongo bongo mtuu mwenye PHD, akawa ana age range Kati ya 20-28...?

Au unaongelea PHD ipi...?
Safi sana mkuu!

Nahisi mtoa mada hajashirikisha fikra kwenye andiko lake!

brain is the beautiful part of the body.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom