Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni kijana wa kitanzania niko hapa kutafuta mwanamke wa kuishi nae Nimeishia kidato cha nne mwaka 2012 nina miaka 25. Nimejiajiri kwenye campuni binafsi ya Umoja Computer and IT solution pia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza, nahitaji mwanamke aliye tayari kuolewa iwe humu JF ama kwingineko. SIFA ZANGU Dini: Muumini wa dini ya kiislamu Umri: Miaka 32 Urefu: 175 cm Kabila...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina miaka 32 mkristo Muajiriwa Elimu Degree Sio mrefu sio mfupi Maji ya kunde. Mwanamke anayehitajika; Miaka chini ya 27 Awe mkristo Elimu, diploma au degree Mweupe Mwili wa kawaida Kama una...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa majina ya humu jamvini ni wolfpack. Dini yangu ni mkristo na naishi Arusha mjini. Natafuta rafiki wa kike(mchumba) mwenye umri kwanzia 22 mpaka 26 mwenye vigezo hivi, 1. Awe mweusi au maji ya...
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Hi jf. Nimepata mualiko kutoka Kwa classmate wangu anaoa amenitumia tiketi tangu juzi amesisitiza nifike kwenye harusi yake. Baada ya harusi nitamsisitiza angalau nikaone hilo kabila...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa! Je, ni kweli kwamba love connect inatumika kama ilivyokusudiwa na waandaaji wa hii forum. Kwa sababu...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndungu zangu wanajamvi Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa, Mimi ni mgeni humu naomba mnipokee wanajamvi. Kama title inavyojieleza hapo juu...
10 Reactions
52 Replies
7K Views
Naitwa Ally niko Tabora natafuta rafiki wa kuchat nae then tuwe wachumba ila awe mvulivu shida na njaa, umri kuanzia 18 ~26. Alietayari namba hiyo 0743850941 kwa eirtel no 0692658141
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Natafuta mwanamke wa kufunga naye pingu za maisha kwa ndoa halali kutoka kanisani, mimi ni mwanaume niliekamili. Mke nimtakaye awe ana mapenzi ya kweli, elimu kuanzia la saba na kuendelea awe na...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina miaka 23, ndio kwanza nimeanza kupambana na maisha baada ya masomo. Napenda kuwa na friends zaidi wa kike tupeane changamoto zaidi. Ukiwa interested ni PM... [emoji108] [emoji108]
0 Reactions
5 Replies
963 Views
Habari wanajamvi, mm ni kijana 20's natafta rafiki yeyote wa kike just for friendship, 0762184383
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jamvi, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37, nina elimu ya chuo kikuu na kazi nzuri, nimekamilika biologically, physically. Kitabia mimi ni binadamu sio malaika. Imani yangu ni...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Natafuta marafiki wa kike na wakiume age 26-34 npo dar
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Sifa za nimtakaye Rangi yoyote Kabila lolote Elimu yoyote Mcha MUNGU mkweli na mwaminifu SIFA ZANGU Mcha MUNGU Umri 27 yrs Naish dar Mengine karibu PM
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau kuna msichana nimempenda nikamtongoza ili tuwe wapenzi ,amenisumbua muda mrefu mpaka kuja kunikubalia sasa shida ni kwamba ameniuliza kama niko kwenye mahusiano kwa sasa nimemdanganya niko...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za mchana! Kuna jirani yangu leo tangu asubuhi kavurugwa anamtafuta house boy wake kakimbia baada ya kumstukia house girl ana mimba alivyomkodolea macho kasema kweli ana mimba ya house...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Nahitaji mwanamke wa kipemba kwa ajili ya kuoa, mie tayari nipo kwenye ndoa hivyo nahitaji ambaye yupo tayari kuingia kwenye ndoa ya wake wengi, sifa zake Awe mweupe sio mweusi Awe muislam...
1 Reactions
51 Replies
9K Views
Wadau habarini Nahitaji mdada ambaye ni graduate (zaidi fani ya ualimu) wa kuoa, awe na umri usiyopungua miaka 20 na isiyozidi miaka 25. Na awe mwenye kiu ya maisha, na nitafurahi zaidi akiwa na...
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Kwa yeyote ambaye ni msichana kiziwi umri 17-23 comment hapa
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wanajamvi? Naandika Uzi huu Nikiwa na dhamira ya Kumpata mwanamke ambaye atakua mke wangu. Vigezo -awe Tanzania -mkristo -umri kuanzia miaka 25 -awe mtu mwenye uhitaji kweli na mume siyo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom