Natafuta rafiki wa kike wa kudumu

wolfpack

JF-Expert Member
Aug 6, 2013
702
500
Kwa majina ya humu jamvini ni wolfpack. Dini yangu ni mkristo na naishi Arusha mjini. Natafuta rafiki wa kike(mchumba) mwenye umri kwanzia 22 mpaka 26 mwenye vigezo hivi,
1. Awe mweusi au maji ya kunde
2. Awe mrefu wa wastani sio mfupi walau 5feet
3. Awe ameenda shule walau level ya diploma au degree
4. Anaejiheshimu na kujitambua, mkweli na mwaminifu
5. Open minded na confident
6. Awe na umbo la kawaida, mwembamba au mnene wa wastani sio sana.
7. Asiwe cha pombe yani mlevi
8. Awe mkristu au mweislamu muhimu awe mcha Mungu
9. Awe decent


N.B: Njoo inbox tuyajenge.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom