Askari kioja
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 355
- 968
Natafuta marafiki wa kike na wakiume age 26-34 npo dar
Mwanaume age 27Wewe jinsia gani?
Sasa urafiki na sisi wanaume wenzio unataka wa nini chifu.Mwanaume age 27
Kubadilishana mawazo na kupeana michongo naitaji kujifunza challenge za wengne au kuna ubayaSasa urafiki na sisi wanaume wenzio unataka wa nini chifu.
Hakuna ubaya... kila la kheriKubadilishana mawazo na kupeana michongo naitaji kujifunza challenge za wengne au kuna ubaya
HahahaSasa urafiki na sisi wanaume wenzio unataka wa nini chifu.
Weka wazi tu kuwa unatafuta mchumba kielewekeNatafuta marafiki wa kike na wakiume age 26-34 npo dar
Usingizi umekataWanakuja mkuu sahv wamelala
Duu basi na wewe Bwana akulindeMali za watu![]()
![]()
![]()