Habari zenu,
Umri miaka 25 naishi Dar kama nilivyotangulia hapo mwanzo ni kweli kuwa nimechoka kuishi pekee nahitaji mwenza wa kuwa nae maishani kusaidiana katika dhiki na faraja tucheke wote...
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,
Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo...
"Nimewahi kuomba ushauri hapa JF kuusu wake zangu wawili kama mtakumbuka umri nilishataja nilipata ushauri mzuri wengine walizingua mana huwa hawakosekani katika jamii ni kawaida sana kuwapo watu...
Hello!
Naitwa Mary ni binti wa miaka 28 na ni mkristo, nimemaliza chuo mwaka jana kozi ya laboratory science and technology lakini bado sijapata ajira.
Nilidumu kwenye mahusiano na mwanaume...
Mm naitwa blandina nilishawai kuandika status yangu nikiwa natafuta Mme sikuwa natania nilikuwa serious ila nimepitia sms za wengi wanafanya jok sana siyo kila mtu anae andika anatafuta Mme au...
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 30 ni mzaliwa wa Moshi ila kwa sasa niko Dodoma kikazi natafuta mwanamke ambaye yuko tayari kuishi na mimi maisha yoyote yale. VIGEZO vyangu nikuwa awe na umri...
Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mwanamke/msichana wa sifa zifuatazo:-
>Awe kabila lolote kwani kwangu hiki sio kigezo (no one decided to be in any of the tribe available)
>Rangi pia yoyote...
Habari za asubuhi.
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, Mimi ni mwanaume na miaka 23, mweupe, mkristo, elimu bado nipo chuo, mchaga nadhani inatosha japo kidogo kujitambulisha.
Mimi ni...
Sifa
Awe mcha mungu
Awe amehifadhi Quran yote au hata juzuu moja
Akili timamu
Asiyependa makuu.
Anayejua kulea watoto wamjue Allah
Miaka 23;24;25; 0714205255
Habari za majukumu wadau.
Kama kichwa cha habari kinavyojielea, ninahitaji kuwa na mke ilituweze kusaidiana kujenga familia bora.
Sifa za mtu ninayemtafuta:
- Awe wife material (mchapa kazi n.k)...
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:-
1.Awe na umri kuanzia miaka 25 na kuendelea mana sipendi kuwa na msichana mwenye mambo ya utoto utoto.
2.Rangi yeyote iwe nyeusi au nyeupe ila sio weupe...
Habari zenu,
Majuzi nilieleza kwanini napenda Mwanamke mtu mzima, na kwakweli niliwekwa kikaangoni na kumjibu kila mmoja kwa umakini, hadi thread ikafika page ya 9 bila tusi lolote, bali yalikuwa...
Habari wana JF,
Natafuta mume aliye tayari kuwa nami katika hali zote, mimi nina umri wa miaka 34, mwalimu wa shule moja ya sec mjini Mwanza.
Nilibahatika kuolewa lakini bahati mbaya nilitendwa...
Inaweza ikawa kwa fikra za kawaida ukajiuliza nikaapo hawapo mpaka nitafute hapa?, lakini when you search someone to be your wife your never know utakutana nae kwenye mazingira yapi!, natafuta...
Habari taifa la Mungu.
Mimi ni jinsia ya Ke, miaka 29, muajiriwa katika Asasi ya kiraia, natafuta rafiki wa faida (friend with benefit)
Awe angalau mrefu, kabila lolote,
Umri miaka 33 na...
Kama title inavyojieleza,
Sifa: Mchapakazi, mrembo/mzuri, mkristo, umri kuanzia miaka 18-20, si mrefu sana au mfupi sana awe wa kati, awe mtanzania.
Sifa zangu: Umri miaka 25, urefu wa kati...
Some of my characteristics
1. I am between 30 to 40 years.
2. A man, not a boy and well matured.
3.Roman catholic by religion.
4. Employed and woking on self project as an entrepreneur
5...
Habarini za usiku huu, naleta tangazo hili usiku huu baada ya majadiliano marefu na mhusika... Anayetafuta mchumba sio mimi bali ni mwanaJF mwenzetu nami nipo hapa kama mwakilishi
Nimejiridhisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.