Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
habari ndugu zangu. Nataka kuhamia morogoro na sijawahi kufika. Naomba kwa wakazi wa morogoro tutawasiliane kwa namba 0752514927. Au godwingerald34@gmail.com. Naomba saaana msaada wenu ndugu zangu.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama kawa kama sawa!! Kila siku nasikia vijana mabachela wanauliza kuhusu hili swala la mke kuwa Wife material au kwa wadada kutafuta mwanaume husband material au kwa ufupi wanatafuta mtu ambaye...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wana jf natumaini kwa uwezo wa MWENYEZI MUNGU kila mmoja yuko poa kwa nafasi yake; ingwa kunawengine hawapo vzuri sana kiafya muda huu pengine wapo vitandani wakiuguza majeraa mbali mbali...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
I am still looking for a women to become a true wife of mine. For more details, please! contact through mobile no.0789811885
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kichwa cha habari kinasadifu hapo. Aliye serious but awe single maana naogopa foleni
0 Reactions
7 Replies
849 Views
Habari zenu wakuu ! nimeamua kuandika huu uzi kwa sababu nami ni muhanga katika suala hili ila nimekaa chini na kuamua kuandika ili niwasaidie vijana wenzangu juu ya suala hili Lakini mtakumbuka...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
wapendwa wana JF mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28! Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme sifa za ninaemtaka awe na umri wa kuanzia miaka 25-na kuendelea! elimu kuanzia masters...
1 Reactions
194 Replies
37K Views
Umempokonya mwenzio ukapewa usukani wewe unaanza mbwembwe kisa nimekujengea nyumba unapiga pamba blin blin acha hizo. Big house naiheshimu au unataka tuachane wewe uwe mmiliki wa kila kitu mpaka...
0 Reactions
7 Replies
943 Views
Kwa mawasiliano 0653262105
0 Reactions
0 Replies
4K Views
NATAFUTA KAMCHUMBA KAZURI KAZURI KUANZIA MIAKA 25 KUSHUKA CHINI
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni ngumu mno kumpata mwenza wa maisha, ukiamua tu kuwa na mtu kuna kitu kinaibuka unajiuliza hivi huu ndio mwanzo hata wiki au mwezi wa kufahamiana bado, duh tayari nimepata picha huko mbeleni...
4 Reactions
59 Replies
4K Views
Iam 25 years, black beauty, jobless! Nahitaji mume anaeishi Mbeya mimi nipo Mbeya, pia kwa taarifa zaidi ni PM. Nawasilisha! Ndaga fijo!
1 Reactions
79 Replies
9K Views
nahitaji rafiki wa ku-socialize awe wa kike, umri chini ya miaka 22 na asipungue 18 awe anaishi dar, sifa ya ziada awe mzuri sitaki rafiki ntakaeogopa kumtambulisha kwa marafiki wengine kuwa huyu...
0 Reactions
1 Replies
597 Views
Salam, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, ninahitaji mke/mchumba alie siriazi na mahusiano. Sifa zangu. Mimi ni mkristo dhehebu la KKKT. Nina watoto 4 kila mmoja na mama yake. Nina kazi ya...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Kama yupo aje inbox yangu 0628046023
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji rafiki wa kike wala sio mpenzi sababu mpenzi ninae. Ila akitaka Huduma nyingne nitampa anazostahili mchumba. Tubadilishane mawazo ya maisha na tupeane ushauri. Awe na elimu juu hatakama...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
niliandika thread humu natafuta mdada aliyesoma na ana kazi ila mapovu yaliyowatoka watu si wa nchi hii. kwahyo bongo wadada wanataka wawe magolikipa tu ama? hizi mentality bana, muwe mnabadilika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume umri wangumiaka 35, nina mtoto mmoja. Natafuta mwanamke awe na sifa zifuatazo; awe mkristu hasa RC, ambaye hajazaa atafikiriwa zaidi, awe muajiriwa. Mengine njoo PM.
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Hello Napenda kutumia nafasi hii kutafuta msichana mzuri na mrembo mwenye sifa zifuatazo: 01: umri miaka 18-30 02: elimu kuanzia form 4 mpaka bachelor degree. 03: dini awe mkristo 04: awe mrefu...
0 Reactions
3 Replies
944 Views
Nina miaka 25, Mkristo na nimejiajiri ninatafuta mpenzi awe umri kuanzia 20 mpaka 27. Awe dini yoyote ila awe tayari kubadili endapo tutaoana. Awe na urefu wa wastan kuanzia 145cm mpaka 160cm...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Back
Top Bottom