Wema,mwenzako sili silali....usiende kwa mwingine p'se

Mvua Ya Kiangaz

JF-Expert Member
May 24, 2011
308
144
Hodi Jamvini, jamani mwenzenu niko hoi,pamoja na kashfa,visa na matukio ya hapa na pale kuhusu Wema Sepetu,mwenzenu binti huyu ananitia wazimu,sijui nielezee vipi,lakini naamini mnanielewa,nadhani ninacho anachohitaji na akija kwangu kamwe hataondoka,wana JF hisia zangu kwake ni za dhati na nashindwa kujielewa,naomba mnipe mwongozo ili nisije kuamua kwa kufuata hisia kuliko uhalisia, kwa maoni ambayo hamtapenda yaonekane jamvini tafadhali nitumieni kwenye: petitmacdowel@yahoo.com,

Niko serious nataka kutangaza ndoa......
 
Sioni aibu labda bcoz ni mdada hakikisha uko hivi;


  1. Hakikisha wewe ni jina kubwa hapa TZ kwa upande wa entertainment i.e. Blue, Diamond, Kanumba..
  2. Kama sio star iwe basi wewe ni maarufu katika maeneo/vijiwe vilivyokua considered muhimu Dar, hamna haja ya kutaja kama huvijua ina maana hua hujirushi hivyo tayari DIS QUALIFIED... i.e Jumbe
  3. Kama sio maarufu walau uonekane una mpunga mrefu waweza provide kila kitu hadi usafiri wa maana... mimi napend Range Rover.. sijui yeye nini anapenda.
  4. Kama pesa huna walau unonekane Sharo fulani hivi ikiwezekana ujue hata kuimba...
  5. Mvua ya kiangazi kama the above zoote huna endelea kumaliza shida zako kwa imagination na ndotoni.
 
Unatangaza ndoa hata kabla hujakubaliwa? Au kwa kuwa binti umemuona ndo hivyo tena kila anayegusa, huenda hana mpango wa kuolewa au ingawa anawakubalia wengi huenda wewe ukakwaa kisiki? Cha msing tafuta contact zake na umsikie anasemaje ndipo urudi hapa kwetu kuomba ushauri unaotaka na ikibidi michango ya harusi. Katika hatua hii ukipewa go ahead na members humu kisha ukatolewa nje na mhusika nini kitafuata? au unataka utakapojinyonga kwa kukataliwa utuhusishe!
 
Hahahahahhahlol
sasa hiyo Sili Silali haijatulia sana
lakini kama unapenda kuji express
mwenyewe hivyo safiii..

mie nakutakia kila lakheri..
 
Good Luck bwana you neva no akifika kwako akatulia ,mie sina ma contact yake
 
huyo binti kashafyatuka humuwezi! kila kukicha ni kubadilisha mabwana
 
Nilimsikia redio times fm juzi anataka mtoto na diamond!ila anajua kuhandle public talk!
 
Back
Top Bottom