Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta rafiki yoyote wa kike aliyeko mwanza umri kuanzia 18_28 Asiwe na mchumba wala boyfriend. Dini yoyote mm n christian
0 Reactions
10 Replies
3K Views
habari naitwa junior natafuta mchumba wa kike miaka 25 mon 31 kibonge God fearing mvumilivu
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mnakuwa lama watoto sortîmes..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
upendo usiokejeli upendo unaojali bila kuangalia mapungufu ikiwa hakuna anaependa kuzaliwa na mapungufu...
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu,,natafuta mke wa kuoa..mm nina miaka 40,,mke mtarajiwa awe na miaka kuanzia 20 had 35,awe kipotabo kidogo awae na kamzigo kidogo awe maji ya kunde mnakaribishwa..
0 Reactions
3 Replies
864 Views
Mimi ni kijana wa kiume (27) nafanya kazi Dar es salaam,natafuta msichana mrembo tuwe marafiki kisha wapenzi.Awe na umri kati ya 20-40
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta girlfriend. Am 26 years old. Yoyote ambaye yupo interested anicheki PM tuyajenge. Awe yupo Dsm.
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Habari zenu wana bodi! Poleni na mihangaiko yenu ya maisha mimi nina 30yrs nimeajiriwa. Natafuta mke mwenye nidhamu na mwenye hofu ya mungu pia awe 20yrs mpaka 28yrs pia asiwe bonge sana kikubwa...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
jamani natafuta mpenzi wa kike miaka 30 mpaka 40 tule ujana.karibu
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Hello my felloe JF Members, Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35,elimu ya shahada ya kwanza,na mwajiriwa,Career-wise iam doing ok, but i think it's about time to meet with my future wife I would...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wana bodi! Poleni na mihangaiko yenu ya maisha mimi nina 30yrs nimeajiriwa. Natafuta mke mwenye nidhamu na mwenye hofu ya mungu pia awe 20yrs mpaka 28yrs pia asiwe bonge sana kikubwa...
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Asaalaam alaykum naitwa Nasry natokea morogoro mjin natafuta mchumba ambaye in sha Allah atakuja kuwa mke awe muislamu anaejua dini japo kwa uchache sichagui rangi wala kabila..shukran
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi ni vituko sana kwani hao wauza bidhaa hawatajua mshahara umeongezeka hawana ndugu wafanyakaz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wadau! Natumai mu wazima wa afya. Hakika sijabahatika kuwa na furaha katika hizi anga za mapenzi, kila napogusa naishia kutokuwa na furaha katika mapenzi. Kila niliyekuwa naye tunaishia...
0 Reactions
2 Replies
903 Views
Wapendwa, Natafuta mwanamke wa kuanzisha naye mahusiano. Lengo ni urafiki ambao natamani uende hadi katika ndoa. Hata hivyo kama hautafikia ndoa basi nitaelewa tu. Lakini mimi niko tayari kuoa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu, Naishi Dar es salaam, natafuta rafiki wa kike ambaye baadae anaweza kuwa mke wangu. WASIFU WANGU -Nina umri wa miaka 29. -Nina shahada ya uongozi wa Mauzo na Masoko kutoka C.B.E...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Mambo, Habari zenu wanafamilia, naitwa Colins, mkaka umri wa miaka 33, mjasiliamali na muajiriwa. Ninapendelea kusafiri, kutembea, mazoezi, mpira wa miguu, kuogelea, volleyball na kusafiri. Pia...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
vigezo kwa mwanamke miaka 22 to 27 awe dini yoyote rangi yoyote asiwe tegemezi kupitiliza elimu form four kuendelea
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Mambo zenu? Mimi ninahitaji kutulia sana. nasema kutulizwa sio kuumizwa kama unajijua wewe ni unajua kujali Naumetulia unahitaji kupendwa nakuishi na mtu mwaminifu bila stress basi huu uzi...
6 Reactions
211 Replies
15K Views
SIFA ZANGU - Miaka 32 - Mkristo - Nimeajiriwa serikalini - Sijaoa [emoji174] -Naishi mbeya -Nina kibamia [emoji6] SIFA ZAKE -Mwenye upendo wa dhati[emoji180] - Mkristo -Umri 20-25 -Kimo cha kati...
0 Reactions
2 Replies
817 Views
Back
Top Bottom